Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

Kwa nini wanastaafishwa wakifikisha huo umri?
Katika maisha ya kazi za kuajiriwa kuna vigezo ili kuweza kufikia mahitaji ya soko, mojawapo ikiwa...Wepesi wa kufikiri, kuamua na kutenda, jambo ambalo wazee walio wengi hicho kipengele ni kigumu kwao.

Muhimu kumbuka kustaafu kazi sio kustaafu maisha. Kuna nyanja nyingi ambazo wazee wanafit na kufanya vizuri.
 
Kwetu kila mtoto kapata urithi,Tanzania na nje ya nchi,nawashukuru wazazi wangu ambao leo wote wametangulia mbele ya haki.
Kwa nini hujapenda kuwaachia kampuni/biashara wajukuu zako zaidi ya kujikita kwenye jengo?
 
Hapa duniani ukiweza kufanya Jambo Fulani Zuri la kufurahisha moyo wako lifanye Kwa kiwango kikubwa usifikiri maswala ya kifo. Fanya ili na wanao wale matunda ya furaha Yako.
 
Katika maisha ya kazi za kuajiriwa kuna vigezo ili kuweza kufikia mahitaji ya soko, mojawapo ikiwa...Wepesi wa kufikiri, kuamua na kutenda, jambo ambalo wazee walio wengi hicho kipengele ni kigumu kwao.
Kama wazee wanakuwa na changamoto ya kiutendaji, kufikiri n.k unawazungumziaje hawa marais, wa Cameroon Biya, na wa Sudan Kusini Salva Kiir?​
 
Ngozi nyeusi ikifika miaka 65 mnawaza kufa, wazungu ikifika 65 wanaona ndio wapo kwenye kilele cha kutafuta maisha kwa nguvu zote na kuenjoy zaidi
Evolution of man kwa mtu mweusi ilishaisha au bado inaendelea?
 
Kujenga nyumba ni uoga wa maisha, hata ukiwa na miaka 18 kujenga ni useless maana hapa duniani tunapita. Kwa nini ujenge njiani ?
 
Hapa duniani ukiweza kufanya Jambo Fulani Zuri la kufurahisha moyo wako lifanye Kwa kiwango kikubwa usifikiri maswala ya kifo. Fanya ili na wanao wale matunda ya furaha Yako.
Itapendeza kama na wewe ulikula matunda ya waliotutangulia
 
Back
Top Bottom