Seif Mselem
JF-Expert Member
- Oct 16, 2023
- 257
- 441
…kabla Sijakwambia ni Kosa gani Naomba kwanza Nikuulize hili Swali hapa Chini...
.
“Je ni Kweli Ungependa kujua Kosa Lako MOJA Kubwa Unalofanya Kila siku kwenye Maisha yako?..”
.
Kama Jibu Lako ni…“NDIO”
.
Basi…hii Itakuwa moja ya Makala yako BORA Kabisa kuwahi Kusoma ndani ya Mwaka huu…
.
Kwasababu…
.
Baada ya Sekunde 60 tu Utaenda Kujua ni Kosa gani Moja umekuwa Ukilifanya Muda wote huo na… Jinsi gani Unaweza KUACHA Kulifanya na Kufika kule Unakotaka…
.
…maana Kosa hili Moja ndilo Linalowafelisha Zaidi ya 80% ya Vijana Kutimiza Malengo yao kila Mwaka…
.
ILA…
.
Kabla Sijakwambia ni Kosa gani, Naomba kwanza…
.
Nikupe Huu Msemo hapa Chini…
.
Unasema Hivi…
.
“Do Not Stare at the Summit, INSTEAD Stare at your Boots”
.
…huu ni Msemo Maarufu sana kwa Wapanda Milima…
.
Au nyie Wazungu Mnawaita…
.
“Mountain Climbers”
.
Wenye maana ya Kwamba…
.
…ukitaka kufika Juu ya Mlima basi Usiangalie Kileleni unakokwenda…Badala yake angalia kwenye Buti zako…
.
Yaani… Usiangalie kwenye Kilele cha Mlima badala yake… Angalia kila hatua Unayopiga ili Kufika unakokwenda…
.
Kwasababu…
.
Kadri unavyozidi Kuangalia unakokwenda bila Kufika ndivyo kadri… Unavyozidi Kuumia na Kuchoka zaidi na Mwisho wake unakata Tamaa…
.
Ndio maana Watu wengi huwa hawafiki kwenye… “Summit”
.
Au… kwenye Kilele cha Mlima!
.
Kwahiyo…
.
Badala ya wewe Kuangalia Kileleni unakokwenda… Wewe angalia kwenye Buti zako…
.
Angalia kwenye kila “HATUA” Unayopiga ili Kufika kwenye Kilele cha Mlima…
.
Na… Hivyo ndivyo Utakavyoweza Kufika Kileleni!
.
Sasa Mselem… Kwanini una Nambia Haya yote Leo?..
.
Yeah Vizuri Sana… na Bora Umeuliza!
.
Ukweli ni Kwamba…
.
Mimi binafsi huwa namuona Mtu yoyote anayetaka Kutimiza malengo yake flani kwenye Maisha au Biashara yake ni kama Mtu anayetaka Kupanda Mlima…
.
Kwasababu… Kuikuza biashara yako hadi Ifike hatua flani unayoitaka SIO kitu Rahisi…
.
Na…
.
Naweza kufananisha hiyo Hali ni sawa na Kupanda Mlima…
.
Kwahiyo…
.
Kama wewe ni Mjasiriamali mdogo na Unapambana Kufika kwenye Level flani Unayoitaka…
.
Basi usiweke Mawazo yako yote kwenye Malengo ya Mwaka badala yake Hamishia...
.
Mawazo yako yote kwenye Vitu ambavyo unaweza Kuvifanya leo ili Kufikia Malengo yako ya Mwakani…
.
Usikifikie kuhusu geto kali Utakalopata baada ya Kufanya Ishu flani…
.
Usifikirie kuhusu Lifestyle flani ya kwenda kukaa kwenye Restaurant flani huku pembeni una MacBook yako na Kikombe cha Kahawa…
.
Usifikirie kuhusu Iphone 14 Pro utakayopata baada ya Kupiga Dollar 1700 kwenye Forex…
.
Kwasababu…
.
Hayo yote hayawezi Kutokea usipokaa CHINI kila Siku na Kufanya unachotakiwa Kufanya ili Kutimiza Malengo yako…
.
Kwenye Maisha hasa hasa Maisha ya Biashara Inabidi uwe na…
.
“Realistic GOALS”
.
Usije ukatamani Maisha anayoishi Millard Ayo au Idriss Sultan na...
.
Ukadhani ni Maisha yaliokuja kama Bahati… HAPANA!
.
Kuna msoto mrefu Umefanyika nyuma ya PAZIA hadi kufika hapo Walipo Leo… na Kama wangeweka Akili zao kwenye Maisha walionayo leo basi nina Uhakika wasingekwepo hapo Walipo leo...
.
Hilo Lifestyle ni Matokeo ya…
.
Early Mornings na Late Nights Kibao + Kupoteza Weekends na Holiday Kibao kwenye Kufanya kile Wanachofanya now…
.
(Respect to These Guys)
.
Kwahiyo…
.
Kama wewe ni Kijana mdogo Unaeendelea Kujitafuta Ishi kwenye Kitu Kimoja Kinaitwa…
.
“Day – Sized Compartments”
.
Yaani…
.
Badala ya kufikiria kuhusu Malengo yako ya Mwaka mzima… Wewe fikiria kwamba ni Kitu gani utafanya Kila siku ili Kupata kile Unachokitaka mwishoni mwa Mwaka…
.
Sijasema Malengo yako SIO ya Muhimu…NOPE!
.
ILA…
.
Hayawezi Kutimia bila Kukaa chini Kila Siku na Kuyafanyia kazi…
.
Kwasababu…
.
“Targets are Always USELESS… Unless you’re Shooting them”
.
Na…
.
Hili ndilo KOSA Moja linalofanywa na 80% ya Vijana Kila Siku…
.
Badala ya Kuwekeza Akili na Nguvu zako zote katika Kitu gani Kifanyike leo ili Kufika kule Unakotaka… Badala yake Unafikiria kuhusu geto lako Litakavyokuwa baada ya Kupata unachokitaka…
.
Na…
.
Mwisho wa Siku unaishia Kuchoka na kukata Tamaa kwasababu… Muda unaenda na Kile unachokitaka Hakina hata dalili ya Kutokea…
.
Na…
.
Mwisho wake kabisa una… QUIT!
.
Na… hapo Ndipo vijana wengi Wanapofeli!
.
Kwahiyo…
.
Kitu kimoja ninachoweza Kukuachia leo hii ni kwamba…
.
1). Define your Goals…
.
Jua nini unataka Kukipata baada ya Mwaka kuisha hasa hasa Mwaka Ujao.
.
2). Fanya kitu kinaitwa… “CHUNKING”
.
Yaani…
.
Vunja vunja Malengo yako kwenye Vipande vidogo vidogo ambavyo Unaweza ukawa unavitimiza Kila mwezi…
.
Mwisho…
.
3). Fanya… “Reverse Engineering”
.
Anzia mwisho wa Mwaka jinsi Malengo yako unavyotaka yawe… Kisha anza kurudisha Nyuma hadi Siku uliyopo halafu Jiulize ni…
.
Vitu gani unatakiwa Kufanya kila Saa, Kila Siku, Kila Wiki na Kila Mwezi ili Kutimiza Malengo yako ya Mwaka mzima…
.
Then baada ya Hapo…
.
Fanya kile Kitu wanachofanya Mountain Climbers kwamba…

Stick to the PLAN… and NOT to the Goals!
.
Because… All “GOALS” are derived from the Execution of the Plan!
.
Na…
.
Hivyo Ndivyo utakuwa na Nafasi kubwa ya kutimiza Malengo yako kila Mwaka!
.
I Hope Umejua wapi Ulikuwa Unatereza?..
.
Si Ndio?..
.
Yeah… VIZURI
.
I Hope Umejifunza Kitu Kipya.
.
Uwe na JUMAPILI Njema.
.
GRACIAS