Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Mara kibao tu wamemwita "Authoritarian" ambayo ni sawa tu na dikteta!Umewahi kumsikia mbunge wa Marekani akimuita Trump dictator?
Mara kibao tu wamemwita "Authoritarian" ambayo ni sawa tu na dikteta!Umewahi kumsikia mbunge wa Marekani akimuita Trump dictator?
Kamji kenyewe kana watu 2000 na pato la wastani kwa mwaka ni zaidi ya $10,000 kwa mwaka. Pia asilimia zaidi ya 30 siyo raia wa marekani. Someni vizuri kabla hamjaleta mabandiko huku.Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.
Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.
MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Mji una wakaazi 2000. Asilimia zaidi ya 30 siyo raia. Ni wavamizi wamefika na kuanza kuishi mitaani na camps za muda kama inavyoonekana kwenye picha.Ume_Google ukajuwa wakazi wa eneo hilo ni wazaliwa wa marekani au ni wakuja? (Wauza madawa na magenge ya kiharifu ghost city)
Hapana kulitakiwa kuwe na "Push back Vehicle". Ndege zote zina uwezo wa kujirudisha nyuma (Reverse) lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa zaidi kuliko kuvutwa na vifaa maalum.Yah ilitakiwa iwe na gear ya reverse.... hujakosea mkuu ni umasikini
Kutokujiamini kwenu ndio kunawaponza.Kitendo cha kukinukuu tu inaonesha kwamba umekiamini, lakini mbwembwe ulizoweka kwamba itasemwa "CCM imeihonga BCC" ni kuonesha msisimko wako kwamba habari imetolewa na BBC isiyoweza kuhongwa na CCM.
Kumbe wengine huwa mnawahonga?
Jana Joe Biden alikuwa Ujerumani akiongea na viongozi wa Europe na NATO, yeye ni mpinzani wa Trump anayefikiria kugombea urais!Uliwasikia wakitoka nje ya marekani kubwabwaja?Kumbuka wanaopinga ni watu wenye asili ya mexico ambao wamo kwenye serikali na vyombo vya maamuzi na ni haki yao kupinga kwa maslahi yao na ndugu zao waliopo mexico.
Kwenye mada hii tumeonesha kutokujiamini kivipi?Kutokujiamini kwenu ndio kunawaponza.
Wewe ni mpuuzi kweli, unachukua picha za magheto ya mateja ya USA unaziweka hapa, hamwezi kuwa donor county nyie, labda mtoe donation ya watekajiHuko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.
Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.
MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Kusukuma ndege kama mkokoteni ni kuidhalilisha atisielHapana kulitakiwa kuwe na "Push back Vehicle". Ndege zote zina uwezo wa kujirudisha nyuma (Reverse) lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa zaidi kuliko kuvutwa na vifaa maalum.
Omaha mji wa bilioneaz..duh nimebahatika kufika USA, mji wa Omaha, Nebraska.. kwa mpangilio wa makazi na mitaa mizuri nilioiona kule ,,,, sijawai kuwaza kama USA kuna mji una maisha kama hayo
Maisha yapi? Fafanua Plsduh nimebahatika kufika USA, mji wa Omaha, Nebraska.. kwa mpangilio wa makazi na mitaa mizuri nilioiona kule ,,,, sijawai kuwaza kama USA kuna mji una maisha kama hayo
Mji wenye watu 2000 ndiyo wa kufanyia rejea ya Umaskini wa Marekani? Unaweza kutaja hata mji mmoja wa Tanzania wenye idadi hiyo ya watu?duh nimebahatika kufika USA, mji wa Omaha, Nebraska.. kwa mpangilio wa makazi na mitaa mizuri nilioiona kule ,,,, sijawai kuwaza kama USA kuna mji una maisha kama hayo
Nani katukana na matusi ni yepi?Hao wamarekani hawaitukani marekani wakiwa nje ya Marekani ....kama hoja ni kupinga na kukosoa hata bunge letu linafanya hivyo.
mkapimwe akili.Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.
Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.
MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Mada ilikuwa iwe nzuri sana lakini kwanza umeifupisha halafu ukaweka na MYTAKE.... hii ndio imeharibu ladha yoteHuko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.
Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.
MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Hao wanajitakia...kama huyo si achukue hilo tairi lina rimu kabisa akauze...aniuzie hata mimi niweke kwenye Suzuki langu...Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.
Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.
MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Hawa watu Ni wapumbavu Sana mkuu, halafu Ktk hiyo population ya watu 2,000 wenye ajira ni watu 661 idadi ambayo ina cover na kupoteza kabisa watu 2,000 which means mzunguko wa pesa uko smart bado, kwa US ni eneo maskini sawa, lakini kwa Africa hao bado matajiri tu .Mji wenye watu 2000 ndiyo wa kufanyia rejea ya Umaskini wa Marekani? Unaweza kutaja hata mji mmoja wa Tanzania wenye idadi hiyo ya watu?
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.