Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

We kweli ni JINGALAO,uwe donor country huku unaingia mkataba wa madini unaokufaidisha asilimia 16% nawe ukishangilia kama zuzu
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom