Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

..siyo kweli.

..kuna Wamarekani walipinga vita na Iraq.

..kuna wanasheria wa Kimarekani wanawatetea mahabusu walioko rumande la Guantanamo.

..Vyombo vya usalama vya Marekani vinamchunguza Raisi Trump pamoja na wasaidizi wake ktk timu yake ya kampeni.

..Lakini hata siku moja hutasikia wakiitana wasaliti au wahaini au kutwangana risasi.
Hao wamarekani hawaitukani marekani wakiwa nje ya Marekani ....kama hoja ni kupinga na kukosoa hata bunge letu linafanya hivyo.
 
JokaKuu mambo mengine yaache kama yalivyo. Kuna watu wanaandika vitu bila ya wao wenyewe kujua wanaandika nini?

Yaani Marekani kila siku tunaona vyombo vya habari na watu wa kawaida na wasomi wanazuoni wakiinanga serikali yao kutokana na sera mbalimbali wasizokubaliana nazo. Leo mtu kwa kuwa tu anataka kumjibu Lissu anakuja na mada zisizoeleweka.

Hao hawajua kwamba kuna watu waliuawa kwa kupinga vita ya Vietnam.
 
..siyo kweli.

..kuna Wamarekani walipinga vita na Iraq.

..kuna wanasheria wa Kimarekani wanawatetea mahabusu walioko rumande la Guantanamo.

..Vyombo vya usalama vya Marekani vinamchunguza Raisi Trump pamoja na wasaidizi wake ktk timu yake ya kampeni.

..Lakini hata siku moja hutasikia wakiitana wasaliti au wahaini au kutwangana risasi.
Kwenye mambo ya maendeleo ulishaona mpinzani anapinga marndeleo kama huku kwetu?pili ulishawahi sikia mtu wa Upinzani anazurura duniani kusema Marekani iwekewe vikwazo sababu trump ana tuhuma kuwa alishinda kura kwa wizi?
 
Hao wamarekani hawaitukani marekani wakiwa nje ya Marekani ....kama hoja ni kupinga na kukosoa hata bunge letu linafanya hivyo.

..hawana haja ya kusemea mambo yao nje kwasababu wana uhuru wa kusema ndani ya nchi yao bila kubugudhiwa.

..huwezi kusikia wabunge wa Marekani wametolewa mzega-mzega na Polisi wa bunge kama inavyotokea hapa Tz.

..sasa ukiona mbunge anaingiliwa uhuru wake, basi wananchi wana hali mbaya zaidi.
 
Upinzani marekani ndiyo wanaopiga kutengenezwa kwa ukuta mpakani mwa Mexco,

Obama Care?

Acha kuwa mpuuzi
Uliwasikia wakitoka nje ya marekani kubwabwaja?Kumbuka wanaopinga ni watu wenye asili ya mexico ambao wamo kwenye serikali na vyombo vya maamuzi na ni haki yao kupinga kwa maslahi yao na ndugu zao waliopo mexico.
 
Nioneshe statement ya kusifia
Kitendo cha kukinukuu tu inaonesha kwamba umekiamini, lakini mbwembwe ulizoweka kwamba itasemwa "CCM imeihonga BCC" ni kuonesha msisimko wako kwamba habari imetolewa na BBC isiyoweza kuhongwa na CCM.

Kumbe wengine huwa mnawahonga?
 
Unazungumzia bunge la Marekani ama watu wa kawaida wa Marekani. Ni lini umewahi kusikia Mbunge wa chama chochote Marekani ametolewa nje ya bunge kwa kusema Rais wa nchi hiyo hafai?
Umewahi kumsikia mbunge wa Marekani akimuita Trump dictator?
 
Uliwasikia wakitoka nje ya marekani kubwabwaja?.
Hawawezi kutoka kwa kuwa kwao uhuru wa kutoa maoni unaheshimiwa. Sasa Trump anachorwa na kujadiliwa kila siku kwa mabaya yake na hakuna mtu anakamatwa kwa kuwa na maoni tofauti na Trump.

Wewe umewahi kusikia Mbunge wa Marekani kakamatwa kwa kupishana kauli na Rais wao?
 
Kwenye mambo ya maendeleo ulishaona mpinzani anapinga marndeleo kama huku kwetu?pili ulishawahi sikia mtu wa Upinzani anazurura duniani kusema Marekani iwekewe vikwazo sababu trump ana tuhuma kuwa alishinda kura kwa wizi?

..Ndiyo.

..wako waliopinga Obama care.

..wako wanaopinga ujenzi wa ukuta kwenye mpaka wao na Mexico.

..wako wanaopinga uchimbaji na utafiti wa gesi na mafuta.

..wako waliopinga ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta.

..majuzi kuna wanasiasa wa New York wamekwamisha ujenzi wa ofisi za kampuni ya Amazon ktk jimbo lao.

..na hayo yote yametokea lakini hakuna mwanasiasa aliyebugudhiwa, kutishiwa, au kuumizwa.
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Ukienda India ndo utalia kabisa
 
Back
Top Bottom