Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Kamji kenyewe kana watu 2000 na pato la wastani kwa mwaka ni zaidi ya $10,000 kwa mwaka. Pia asilimia zaidi ya 30 siyo raia wa marekani. Someni vizuri kabla hamjaleta mabandiko huku.
 
Kitendo cha kukinukuu tu inaonesha kwamba umekiamini, lakini mbwembwe ulizoweka kwamba itasemwa "CCM imeihonga BCC" ni kuonesha msisimko wako kwamba habari imetolewa na BBC isiyoweza kuhongwa na CCM.

Kumbe wengine huwa mnawahonga?
Kutokujiamini kwenu ndio kunawaponza.
 
Uliwasikia wakitoka nje ya marekani kubwabwaja?Kumbuka wanaopinga ni watu wenye asili ya mexico ambao wamo kwenye serikali na vyombo vya maamuzi na ni haki yao kupinga kwa maslahi yao na ndugu zao waliopo mexico.
Jana Joe Biden alikuwa Ujerumani akiongea na viongozi wa Europe na NATO, yeye ni mpinzani wa Trump anayefikiria kugombea urais!

Aliwaambia hao viongozi, “America will be back”

Kama hujui uliza. Usibakie na ujinga, kwasababu haukusaidii.
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Wewe ni mpuuzi kweli, unachukua picha za magheto ya mateja ya USA unaziweka hapa, hamwezi kuwa donor county nyie, labda mtoe donation ya watekaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya marekani haifanyi kitu kabisa..miaka zaidi ya 100 ya uhuru watu wanaushi chini ya dola moja..inabidi kitafutwe chama mbadala kiweke mgombea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh nimebahatika kufika USA, mji wa Omaha, Nebraska.. kwa mpangilio wa makazi na mitaa mizuri nilioiona kule ,,,, sijawai kuwaza kama USA kuna mji una maisha kama hayo
Mji wenye watu 2000 ndiyo wa kufanyia rejea ya Umaskini wa Marekani? Unaweza kutaja hata mji mmoja wa Tanzania wenye idadi hiyo ya watu?
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
mkapimwe akili.
 
Mada ilikuwa iwe nzuri sana lakini kwanza umeifupisha halafu ukaweka na MYTAKE.... hii ndio imeharibu ladha yote

Jr
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Hao wanajitakia...kama huyo si achukue hilo tairi lina rimu kabisa akauze...aniuzie hata mimi niweke kwenye Suzuki langu...
by the way hii ni habari ya kipropoganda
 
Mji wenye watu 2000 ndiyo wa kufanyia rejea ya Umaskini wa Marekani? Unaweza kutaja hata mji mmoja wa Tanzania wenye idadi hiyo ya watu?
Hawa watu Ni wapumbavu Sana mkuu, halafu Ktk hiyo population ya watu 2,000 wenye ajira ni watu 661 idadi ambayo ina cover na kupoteza kabisa watu 2,000 which means mzunguko wa pesa uko smart bado, kwa US ni eneo maskini sawa, lakini kwa Africa hao bado matajiri tu .
Hebu mpuuzi ataje eneo hapa Tanzania ambalo lina watu 2,000 halafu 661 wana ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.

Tunasubiri hiyo mentallity yenu itimie!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom