Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

Hakuna nchi inayakosa maskini duniani serikali inabidi irahisishe huduma za jamii na kuchochea uwekezaji na uwezeshaji kwa walio wengi,sasa Tanzania kuna watu zaidi ya million 50 walipa kodi ni million 2 wakati marekani inawatu zaidi ya million 390 na ushee na inawalipa kodi zaidi ya watu million 200

mpuuzi mpuuzi tu
 
Umeongea point mkuu, umaskini upo Dunia nzima ila unatofautiana Sana, sasa huyu boya anataka kufananisha umaskini wa US na Tanzania, pathetic kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Ndiyo.

..wako waliopinga Obama care.

..wako wanaopinga ujenzi wa ukuta kwenye mpaka wao na Mexico.

..wako wanaopinga uchimbaji na utafiti wa gesi na mafuta.

..wako waliopinga ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta.

..majuzi kuna wanasiasa wa New York wamekwamisha ujenzi wa ofisi za kampuni ya Amazon ktk jimbo lao.

..na hayo yote yametokea lakini hakuna mwanasiasa aliyebugudhiwa, kutishiwa, au kuumizwa.
Hamia Marekani au ukiona viipi hamia Somalia tuachie Tanzania wenyewe Tanzania sio photocopy ya Marekani ndio maana Tanzania na Marekani zina majina tofauti .
 
Wao wanaenda white House nje pale wanamtukana Trump hebu wewe nenda Lumumba tu kamwambie ukweli polepole uone Moto wake
Nakuuliza wewe hapo ulipo mtu akija akakutukana utafurahia na kuchekelea..tuanzie hapo...hautarusha ngumi kweli
 
Hakika wewe ni jingalao Yaani umasikini wa kijimtaa kwa mtu mmoja mmoja unaataka kufanya uhalali kwa umasikini uliopo Tz. Hivi uvccm kuna hata mwenye akili timamu kweli?
Nikuulize, hivi unajua level ya maskini kule marekani kwa sasa...ni asilimia ngapi..?
 
jingalao nyie watu wa ajabu sana. Inawezekana kwenye vikao vyenu huwa mnadhani kuna nchi ambayo haina umaskini. Tatizo siyo umaskini bali umaskini unasababishwa na nini.

Umaskini wa Marekani hausababishwa na viongozi wao kufanya maamuzi ya kijinga ama ya hovyo bali unatokana na mfumo wa kibepari na mafanikio ya nchi hiyo. Kama wewe huna taaluma yoyote na ukatamani kuishi Marekani na ukazamia, bila ya shaka utaishia kwenye maisha kama hayo.

Kwenye Ubepari mapambano yako ya kimaisha ndiyo huamua hatima ya maisha yako. Na kipimo cha umaskini wa nchi hupimwa kwa asilimia ya watu wote. Sasa kama una nchi zaidi ya 50% ya watu wake wanaishi chini ya dola moja kwa siku utalinganisha na nchi ambayo watu wake ni chini ya 0.5% wanaoishi chini ya dola 2 kwa siku?
Mapovu yanakububujika matundu yote utafikiri umemeza mtambo wa kufulia!
 
uharamia wa huyo uliyemtaja ni wa pekee sana na hakuna wa kufanana naye! Hakuna picha za umasikini kutoka kokote zitakazotufariji tujione tuna afadhali wakati tunakopeelekwa kunaweza kuwa kubaya zaidi! Kama huamini waulize waethiopia wanakimbia nchi yenye SGR na flyovers kibao.
 
Hakuna nchi inayakosa maskini duniani serikali inabidi irahisishe huduma za jamii na kuchochea uwekezaji na uwezeshaji kwa walio wengi,sasa Tanzania kuna watu zaidi ya million 50 walipa kodi ni million 2 wakati marekani inawatu zaidi ya million 390 na ushee na inawalipa kodi zaidi ya watu million 200

mpuuzi mpuuzi tu
Takwimu zako ni za urongo..unataka kuniambia zaidi ya nusu ya raia wa marekani ni walipa kodi..mgawanyo gani huu..kwa sababu
1) kuna idadi ya watoto wangapi
2) kuna idadi ya watu zaidi ya miaka 18 wangapi..?
3) ni wangapi kati yao sasa ambao wanaweza kulipa kodi sahihi
 
Nakushauri uachane na hilo jina lako. Kwa hiyo Magufuli ndiyo mungu wako? Kwamba tuna uwezo wa kusaidia Marekani! Hata Iddi Amin alifurahia kutoa msaada Uingereza wakati ana raia wanaokosa maji na huduma za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom