Kwanini watanzania wengi wana wivu na wenzao wanaoishi nje ya nchi kama vile Marekani

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Nimejikuta tu najiuliza hili swala kutokana na hali halisi kuona Watanzania wanaoishi Tanzania wana. wivu mkubwa na wezao walioenda kujitafuta nje ya nchi.

Nimegundua hili kutokana na maoni ya wengi kwenye mitandao ya kijamii wanafurahi wakisikia walioko nje wanaangaika na wana maisha magumu( Wanaoishi Marekani ndo walengwa zaidi).

Yaani mtu anakuambia bora bongo, Marekani wanarudu kwa michango ya nauli kutoka Tanzania.

Ndugu zangu watanzania, ukipata fursa ya kuishi nchi Marekani nakuomba usichezee fursa hiyo utakuja kunishukuru.

Nakukumbusha tuSerekali yako bado inapambana kukupa maji na umeme kwa miaka yote 60 ya uhuru.

Nimemaliza
 
Mzee, mbona wengine hatujawahi kuwaza kuishi marekani?

UNATUONEA KUSEMA TUNAONEA WIVU WANAOISHI US.

Na kama umewahi kutembelea hizo nchi! Bongo tuna maisha flan unique yani Furaha na Amani siku 365.

Kama mla bata, ni wewe na pesa yako, Yan kiufupi, TZ tumejaaliwa kuwa na maisha ya Furaha na Amani.

Kwenda huko US kujitafutia depression yaninii...
 
Nchi ambayo Waziri wa Sheria anatuhumiwa kuteka hakuna furaha hapo...mambo ya kikatili nayoyasikia kila kukicha naona tuna wimbo wa Furaha na Amani feki...polisi sijui wamemuua muuza madini Mtwara daah hiyo furaha labda ya kuchonga...
 
Huwezi kulinganisha na kule!
 
Nimejikuta tu najiuliza hili swala kutokana na hali halisi kuona Watanzania wanaoishi Tanzania wana. wivu mkubwa na wezao walioenda kujitafuta nje ya nchi.

Nimegundua hili kutokana na maoni ya wengi kwenye mitandao ya kijamii wanafurahi wakisikia walioko nje wanaangaika na wana maisha magumu( Wanaoishi Marekani ndo walengwa zaidi).

Yaani mtu anakuambia bora bongo, Marekani wanarudu kwa michango ya nauli kutoka Tanzania.

Ndugu zangu watanzania, ukipata fursa ya kuishi nchi Marekani nakuomba usichezee fursa hiyo utakuja kunishukuru.

Nakukumbusha tuSerekali yako bado inapambana kukupa maji na umeme kwa miaka yote 60 ya uhuru.

Nimemaliza
Ni kweli aise kumekuwa na ka wivu flani mi sielewi kanatoka wapi mimi nipo zangu tanzania ila nafurahia mtu anayetoka na kwenda kutafuta maisha popote sasa unamchukia mwenzako na kumponda sijui wanataka wote tufie hapa hapa kwenye migao ya umeme? Au ndio tuteseke wote
 
Sema watu wa abroad hawasemi ukweli wengi wana maisha magumu kazi zao hazieeleweki ila kututambia tu kweny social
 
Nimejikuta tu najiuliza hili swala kutokana na hali halisi kuona Watanzania wanaoishi Tanzania wana. wivu mkubwa na wezao walioenda kujitafuta nje ya nchi.

Nimegundua hili kutokana na maoni ya wengi kwenye mitandao ya kijamii wanafurahi wakisikia walioko nje wanaangaika na wana maisha magumu( Wanaoishi Marekani ndo walengwa zaidi).

Yaani mtu anakuambia bora bongo, Marekani wanarudu kwa michango ya nauli kutoka Tanzania.

Ndugu zangu watanzania, ukipata fursa ya kuishi nchi Marekani nakuomba usichezee fursa hiyo utakuja kunishukuru.

Nakukumbusha tuSerekali yako bado inapambana kukupa maji na umeme kwa miaka yote 60 ya uhuru.

Nimemaliza
Acha ujinga wewe nani umemsikia ana wivu na wanaoishi nje ya nchi? Kila mara unasikia mwigulu anatufukuza nchini tuende ughaibuni hasa Burundi Sasa wivu uko wapi?
 
Utajiri unaupata popote
Hapa Bongo landa unaweza toboa au kukwama hivo hivo USA
Japo huo wivu mimi binafsi sina wala sijauona

Sijasema utajiri, haupatikani popote.

Mtu ambae ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa mtu anaeishi Marekani na bongo kuna pengo kubwa sana
 
Sema watu wa abroad hawasemi ukweli wengi wana maisha magumu kazi zao hazieeleweki ila kututambia tu kweny social

Huo ndo wivu ninaongelea sasa. mtu anakuambia anavyoishi lakini bado unabisha kwamba hajasema ukweli
 
Watanzania wengi zaidi hawana uelewa wa kutosha kuhusiana na masuala ya DIASPORA AND INTERNATIONAL MIGRATION.
Jirani zetu Wakenya kidogo Wana afadhali kwenye suala hili.
 
Mzee, mbona wengine hatujawahi kuwaza kuishi marekani?

UNATUONEA KUSEMA TUNAONEA WIVU WANAOISHI US.

Na kama umewahi kutembelea hizo nchi! Bongo tuna maisha flan unique yani Furaha na Amani siku 365.

Kama mla bata, ni wewe na pesa yako, Yan kiufupi, TZ tumejaaliwa kuwa na maisha ya Furaha na Amani.

Kwenda huko US kujitafutia depression yaninii...

Hiyo furaha inatoka wapi, unaishi kwa umeme wa mgao, maji ya mgao, watanzania wengi hawana kazi, hawana bima. usafiri wa shida na tena wa kila siku ajili bara barani, sasa hiyo furaha inatoka wapi?
 
Sema watu wa abroad hawasemi ukweli wengi wana maisha magumu kazi zao hazieeleweki ila kututambia tu kweny social
Ukisema mtu anakutambia tayari wivu unakusumbua awe na maisha mazuri au mabaya ili mradi hakuombi hela inakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom