Zifahamu nchi masikini zilizopewa chapa ya umasikini

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza.

Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao.

Unasema nimejuaje?

Sasa Hebu Angalia…

Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande vitatu.

1: Dunia Ya Kwanza (First World)
Hii Ni dunia ambayo waliazimia kwanza iwe na Mapinduzi ya Viwanda ( Industrial Revolution) Pili Iwe Ni dunia ya kuzalisha Bidhaa za Viwanda.

2: Dunia Ya Pili (Second World)
Hii Ni dunia ya Mabadiliko ya Kulimo Na Biashara . Ambapo walisema kuwa Hawa wazalishe Bidhaa za mazao . Uzalishaji Huu ufanywe wakisaidizana na dunia ya kwanza.

3: Dunia Ya Tatu ( Third World)
Walisema hii iwe dunia ya Watu MASIKINI, Na WATUMWA. wakakubaliana kwamba Hawa hawapaswi kuzalisha Bali wanapaswa kuwa waajiliwa wenye mishahara midogo. Hawa hawapaswi kuwa huru Bali wawe watumwa. Na hii dunia ya tatu ndio Afrika.

Tokea Hapo nchi zote zinazojitambua na kuamka kiuzalishaji hukutana na Mambo Mawili eidha Vita isiyokoma Kama Kongo au Kuuwawa kwa kiongozi wake Kama Gadalfi wa Libya n.k

Sasa Nadhani Hadi Hapo umefahamu Sasa ninachokisema. Kwamba Kuna MFUMO Fulani unafanya kazi nyuma ya pazia unaowafanya wengine wawe MATAJIRI na wengine wawe MASIKINI.

Sasa MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Upi?

1:Kwanza MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Ule MFUMO wa UZALISHAJI. Ikiwa na maana wametengenezewa Mazingira ya Kuzalisha. Lakini MASIKINI wamewekewa MFUMO wa Kuajiriwa.

2:Mfumo wa Kuthamini Vitu vyao. MASIKINI Tu Ndio waliwekewa Mfumo wa kutoheshimu vya kwao. NDIO maana so ajabu Kwamba Mwalimu wa mataifa Fulani analipwa Million 20 kwa Mwezi na kwa MASIKINI akalipwa Laki Moja Na Hamsini 350000/=

Au Katika Mtandao wa YouTube Malipo yake yamegawanyika kulingana na Nchi. Kuna Nchi Mtu hulipwa Dola $12.5 ambayo Ni sawa na (28,750Tsh) kwa WATAZAMAJI 1K, Lakini Kuna Nchi za MASIKINI Watu hulipwa Dola $0.97 sawa na (2,231Tsh) kwa watazamaji 1K . Je SWALI kwanini? Maana Yake Kuna MFUMO nyuma Yake.

Hadi Sasa baada Aya kusoma Mifumo inayoongoza Duniani Nilibaini kuwa. Haitakuja kutokea Mtu kutoka Tanzania aje Kuwa Tajiri wa kwanza Duniani.

Sio kwamba haiwezekani Bali Mfumo waliouweka unazuia.
Ukianza kuzalisha Sana wanakufungia soko Usiuze Zaidi.

KWANINI NASEMEA SANA HABARI ZA MFUMO
Kwasababu usipoelewa kuhusu Mfumo unaweza kupigana Vita Kubwa Bila silaha.

Nadhani Hata nikikuachia Hapo unaweza kuelewa Sasa MFUMO unaoongoza MASIKINI na Mfumo unaoongoza MATAJIRI.

Lakini Utakuwa Umeelewa namna ya kupambana ili kujiondoa kwenye Mfumo Huu wa kimasikini.

creditowner
 
YouTube niwafanya biashara hawezi kukulipa hela nyingi wakati population kubwa ya africa hawawezi kupurchase biashara zinazotangazwa na youtube!
tena washukuru kulipwa hiyo 0.97.
 
Hebu niambie Vladimir Putin ama Xi Jinping ama Kim Jong Un, Hawa hawako katika hatari yoyote ya wao wenyewe na nchi zao?

Nachomaanisha hapa ni kuwa usisingizie, matatizo ya waafrika yanasababishwa na waafrika wenyewe.

Hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi, ni lazima akili Yako Iwe Sharp, hakuna nchi itakusaidia wewe kuendelea hata kama ingekuwa wewe huwezi saidia nchi nyingine bila manufaa.

Na hakuna mwenye mamlaka ya kumpangia eti huyu awe tajiri ama yule awe maskini.

Ungeanza Kwa kulaumu uchawi wa waafrika kabla ya kulaumu wazungu ningekuona una point...
 
Kwamba Kuna MFUMO Fulani unafanya kazi nyuma ya pazia unaowafanya wengine wawe MATAJIRI na wengine wawe MASIKINI.
Ukifuatilia hotuba za Nyerere kuna moja amezungumzia hili tena wazi wazi bila kuficha chochote, na majina alikua anawataja
 
Kuna Nchi Mtu hulipwa Dola $12.5 ambayo Ni sawa na (28,750Tsh) kwa WATAZAMAJI 1K,
Cha kufanya ni kuhamia huko huko TU ndio kilichobaki we HUONI huko Africa Magharibi wanakimbilia Europe kwa kutumia backdoors wengine wanatumia maji wanafia humo, Tanzania zamani watu walikua wanazamia huko huko mbele
 
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza.
Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao.

Unasema nimejuaje?
Sasa Hebu Angalia…

Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande vitatu.

1: Dunia Ya Kwanza (First World)
Hii Ni dunia ambayo waliazimia kwanza iwe na Mapinduzi ya Viwanda ( Industrial Revolution) Pili Iwe Ni dunia ya kuzalisha Bidhaa za Viwanda.

2: Dunia Ya Pili (Second World)
Hii Ni dunia ya Mabadiliko ya Kulimo Na Biashara . Ambapo walisema kuwa Hawa wazalishe Bidhaa za mazao . Uzalishaji Huu ufanywe wakisaidizana na dunia ya kwanza.

3: Dunia Ya Tatu ( Third World)
Walisema hii iwe dunia ya Watu MASIKINI, Na WATUMWA. wakakubaliana kwamba Hawa hawapaswi kuzalisha Bali wanapaswa kuwa waajiliwa wenye mishahara midogo. Hawa hawapaswi kuwa huru Bali wawe watumwa. Na hii dunia ya tatu ndio Afrika.

Tokea Hapo nchi zote zinazojitambua na kuamka kiuzalishaji hukutana na Mambo Mawili eidha Vita isiyokoma Kama Kongo au Kuuwawa kwa kiongozi wake Kama Gadalfi wa Libya n.k

Sasa Nadhani Hadi Hapo umefahamu Sasa ninachokisema. Kwamba Kuna MFUMO Fulani unafanya kazi nyuma ya pazia unaowafanya wengine wawe MATAJIRI na wengine wawe MASIKINI.

Sasa MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Upi?

1:Kwanza MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Ule MFUMO wa UZALISHAJI. Ikiwa na maana wametengenezewa Mazingira ya Kuzalisha. Lakini MASIKINI wamewekewa MFUMO wa Kuajiriwa.

2:Mfumo wa Kuthamini Vitu vyao. MASIKINI Tu Ndio waliwekewa Mfumo wa kutoheshimu vya kwao. NDIO maana so ajabu Kwamba Mwalimu wa mataifa Fulani analipwa Million 20 kwa Mwezi na kwa MASIKINI akalipwa Laki Moja Na Hamsini 350000/=

Au Katika Mtandao wa YouTube Malipo yake yamegawanyika kulingana na Nchi. Kuna Nchi Mtu hulipwa Dola $12.5 ambayo Ni sawa na (28,750Tsh) kwa WATAZAMAJI 1K, Lakini Kuna Nchi za MASIKINI Watu hulipwa Dola $0.97 sawa na (2,231Tsh) kwa watazamaji 1K . Je SWALI kwanini? Maana Yake Kuna MFUMO nyuma Yake.

Hadi Sasa baada Aya kusoma Mifumo inayoongoza Duniani Nilibaini kuwa. Haitakuja kutokea Mtu kutoka Tanzania aje Kuwa Tajiri wa kwanza Duniani.

Sio kwamba haiwezekani Bali Mfumo waliouweka unazuia.
Ukianza kuzalisha Sana wanakufungia soko Usiuze Zaidi.

KWANINI NASEMEA SANA HABARI ZA MFUMO
Kwasababu usipoelewa kuhusu Mfumo unaweza kupigana Vita Kubwa Bila silaha.

Nadhani Hata nikikuachia Hapo unaweza kuelewa Sasa MFUMO unaoongoza MASIKINI na Mfumo unaoongoza MATAJIRI.

Lakini Utakuwa Umeelewa namna ya kupambana ili kujiondoa kwenye Mfumo Huu wa kimasikini.

creditowner
Sijapatapo kuiona mada ya kijinga na mleta mada mpuuzi mmoja anaetutukana JF wote kama hii.

Mimi nashauri Moderator wa JF aifunigie hii id ya mleta mada. Inatutukana wote.

Hivi hatuoni au tumefikia kiasi hiki cha maadili?
 
Nionyeshe tusi ukiwa hapo Canada umekunjwa 4 sebleni
 
Sijapatapo kuiona mada ya kijinga na mleta mada mpuuzi mmoja anaetutukana JF wote kama hii.

Mimi nashauri Moderator wa JF aifunigie hii id ya mleta mada. Inatutukana wote.

Hivi hatuoni au tumefikia kiasi hiki cha maadili?
Nimejitahidi kusoma neno moja moja kuona kama kuna tusi la neno au mantiki nimeshindwa.
 
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza.

Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao.

Unasema nimejuaje?

Sasa Hebu Angalia…

Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande vitatu.

1: Dunia Ya Kwanza (First World)
Hii Ni dunia ambayo waliazimia kwanza iwe na Mapinduzi ya Viwanda ( Industrial Revolution) Pili Iwe Ni dunia ya kuzalisha Bidhaa za Viwanda.

2: Dunia Ya Pili (Second World)
Hii Ni dunia ya Mabadiliko ya Kulimo Na Biashara . Ambapo walisema kuwa Hawa wazalishe Bidhaa za mazao . Uzalishaji Huu ufanywe wakisaidizana na dunia ya kwanza.

3: Dunia Ya Tatu ( Third World)
Walisema hii iwe dunia ya Watu MASIKINI, Na WATUMWA. wakakubaliana kwamba Hawa hawapaswi kuzalisha Bali wanapaswa kuwa waajiliwa wenye mishahara midogo. Hawa hawapaswi kuwa huru Bali wawe watumwa. Na hii dunia ya tatu ndio Afrika.

Tokea Hapo nchi zote zinazojitambua na kuamka kiuzalishaji hukutana na Mambo Mawili eidha Vita isiyokoma Kama Kongo au Kuuwawa kwa kiongozi wake Kama Gadalfi wa Libya n.k

Sasa Nadhani Hadi Hapo umefahamu Sasa ninachokisema. Kwamba Kuna MFUMO Fulani unafanya kazi nyuma ya pazia unaowafanya wengine wawe MATAJIRI na wengine wawe MASIKINI.

Sasa MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Upi?

1:Kwanza MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Ule MFUMO wa UZALISHAJI. Ikiwa na maana wametengenezewa Mazingira ya Kuzalisha. Lakini MASIKINI wamewekewa MFUMO wa Kuajiriwa.

2:Mfumo wa Kuthamini Vitu vyao. MASIKINI Tu Ndio waliwekewa Mfumo wa kutoheshimu vya kwao. NDIO maana so ajabu Kwamba Mwalimu wa mataifa Fulani analipwa Million 20 kwa Mwezi na kwa MASIKINI akalipwa Laki Moja Na Hamsini 350000/=

Au Katika Mtandao wa YouTube Malipo yake yamegawanyika kulingana na Nchi. Kuna Nchi Mtu hulipwa Dola $12.5 ambayo Ni sawa na (28,750Tsh) kwa WATAZAMAJI 1K, Lakini Kuna Nchi za MASIKINI Watu hulipwa Dola $0.97 sawa na (2,231Tsh) kwa watazamaji 1K . Je SWALI kwanini? Maana Yake Kuna MFUMO nyuma Yake.

Hadi Sasa baada Aya kusoma Mifumo inayoongoza Duniani Nilibaini kuwa. Haitakuja kutokea Mtu kutoka Tanzania aje Kuwa Tajiri wa kwanza Duniani.

Sio kwamba haiwezekani Bali Mfumo waliouweka unazuia.
Ukianza kuzalisha Sana wanakufungia soko Usiuze Zaidi.

KWANINI NASEMEA SANA HABARI ZA MFUMO
Kwasababu usipoelewa kuhusu Mfumo unaweza kupigana Vita Kubwa Bila silaha.

Nadhani Hata nikikuachia Hapo unaweza kuelewa Sasa MFUMO unaoongoza MASIKINI na Mfumo unaoongoza MATAJIRI.

Lakini Utakuwa Umeelewa namna ya kupambana ili kujiondoa kwenye Mfumo Huu wa kimasikini.

creditowner
Kwa mimi napingana na hili suala 1000%.
Umasikini wa Afrika unasababishwa na mfumo mbovu wa utawala,ulafi wa madaraka na ubinafsi mtu aingiapo madarakani.
Kuna mataifa hapa Afrika yamejitahidi kupiga hatua na yanapiga hatua katika uzalishaji mathalan Egypt.
Msisingizie wazungu kuwajengea mifumo.
Kama mataifa ya kushirikiana nayo kidiplomasia yapo kibao na wala hukatazwi si lazima ujing'ang'ane na Imperialist nations.
Mauritius ,Sychelles,Egypt,Botswana,Namibia wote hao wanafanya economic progressions.
Mbona vita haziwakumbi na viongozi wao kuuawa??
Badilikeni tengenezeni mifumo bora ya tawala zenu,dhibitini ufisadi,acheni uchu wa madaraka na mukomaze uzalenda ili muue umimi mkiingia madarakani.
Mkifanya hivyo mtaendelea.
Acheni kulaumu wazungu.
 
Back
Top Bottom