Umasikini Marekani: Escobares, mji uliyo na masikini wengi wanaoishi chini ya Dola moja

Hawa watu Ni wapumbavu Sana mkuu, halafu Ktk hiyo population ya watu 2,000 wenye ajira ni watu 661 idadi ambayo ina cover na kupoteza kabisa watu 2,000 which means mzunguko wa pesa uko smart bado, kwa US ni eneo maskini sawa, lakini kwa Africa hao bado matajiri tu .
Hebu mpuuzi ataje eneo hapa Tanzania ambalo lina watu 2,000 halafu 661 wana ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaa......
uko sahihi
 
Sijauelewa uzi wako. Unasifia umasikini au unataka kuwa donor country kwa mgogo wa chukua chako mapema (CCM)? Tanzania imekuwa masikini kwa sbb ya CCM.
 
Huko Marekani ambapo ni vinara wa kusaidia nchi masikini kuna mji wenye umasikini wa kutupwa ambapo raia wake wanaishi kwa chini ya dola moja kwa siku.
View attachment 1025433
Haya ni Makazi ya watu wa Mji huo Masikini.

Kwa taarifa zaidi tuisome hii makala kutoka Twitter ya BBC Swahili ambapo, pengine kwa mara ya kwanza wameonesha picha halisi ya mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Mh Rais Magufuli aliposema tunaweza kuwa Donor Country alimaanisha kwa kuwa tukiamua kubadili mentality yetu sisi ni zaidi ya matajiri.
Huo uzushi mtupu hizo picha zako ni mobile house ambazo ni mbovu haziendani na uongo wako, weka link ya BBC hapa, hawajasema Kama ulivyo sema hapa, ujinga utawamaliza nyie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kuwa donor county sawa sikatai, ila sasa donor county lazima wagawe msaada wa vitu kwa nchi nyingine,

Nauliza swali sisi tutaligawia nini ilo jimbo ndani ya Marekani?

Sisi tuna nini kinachotosheleza mpaka kuwagawia wengine? Sukari? Mafuta? Nguo? Unga? Mchele? Au nini labda,

Tatu naona kama umewatekenya CHADEMA kwa mbaali kwa akili kwamba uwenda walio udhuria mkutano wa Lissu wengi wanatoka upande huo?
Akijibu naomba uni text
 
Jana Joe Biden alikuwa Ujerumani akiongea na viongozi wa Europe na NATO, yeye ni mpinzani wa Trump anayefikiria kugombea urais!

Aliwaambia hao viongozi, “America will be back”

Kama hujui uliza. Usibakie na ujinga, kwasababu haukusaidii.
Alimtukana Trump?
 
Hao wamarekani hawaitukani marekani wakiwa nje ya Marekani ....kama hoja ni kupinga na kukosoa hata bunge letu linafanya hivyo.
Waitukanaje wakiwa nje wakati wanaweza kusema na kufanya chochote kwa uhuru wote wakiwa ndani wewe taahira ?

Hapa vyombo vya dola vinashirikiana na maCCM kudhibiti kila anayefungua kichwa, ulitaka wakasemee wapi ??
 
Back
Top Bottom