ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,637
- 57,015
Ni kweli FDLR Bado ni tishio kwa usalama wa rwanda.mbona hao migambo hawafiki hata 5000 ni wachache ila tu idealogy Yao ndo mbaya..ila nguvu hawana..ni kweli wanapewa sapoti na majeshi ya DRC?
Grade I sijawahi kuiona Rwanda, kwa mchele wa Tanzania. Ila, Grade II au III ndo ikifika huko inaitwa Grade I, na kwa pesa ya huku, ni kama 3,500-4,000. Grade I ya uhakika ukiwa na yo ni zaidi. Kwa rejareja hapo. Ila kwa jumla, haizijaachana mbali. Ukiwa na uwezo mkubwa, ukaweza kuwa na ghara lako, hakika kitu kipo.wananunua sh ngap kwa mchele grade one
Vipi suala la miundo mbinu? na je rwanda wameweza vipi kudhibiti suala la ujenzi holela?Watanzania mna raha sana, na mna bahati nyingi mnazochezea.
Maisha si rahisi kama kwenu.
Uhalisia, ni kwamba Rwanda ni nchi ambayo inajitafuta, ukizingatia mauaji dhidi ya watutsi, mwaka 1994, yamefuta nchi na kuanza upya.
Mwaka 1994, Rwanda ilikuwa na wakazi si zaidi ya milioni 7.
Baada ya vita, wakimbizi wengi warirudi.
Ina maana hawakuwa na pa kushika, mbali na ardhi iliyopo. Kilichofanyika, ni serikali kuweka chini na kugawanya ardhi hiyo familia zote.
Nijambo lililofanikiwa kwa asilimia hata 95, 5 nyingine ikiwa wengine hawakufurahia kunyang'anywa ardhi yao.
Mpaka leo hii, wanyarwanda ni zaidi ya Milioni 14. Ardhi hiyo hiyo ya square kilometa 26,000 na kitu.
Miaka 30 ni muda mfupi sana kuweza kujenga uchumi na sekta zote za maisha.
Hivyo, changamoto hizo, ajira, makazi, na vitu kama hivyo, haviwapi watu maisha kama ya Tanzania au nchi nyingine ambazo hazijakumbana na historia kama ya Rwanda. Hivyo, kwa ujumla, ugumu wa maisha upo, na kulingana na mtu.
Hiyo ni sawa na Tanzania, kwa mtu asie na chanzo cha uhakika cha pesa, atakwambia maisha ni magumu
Hii Certificate of import Unapata kwa kupeleka samples Au ni taratibu gani Unafanya,Au mpaka mzigo ukiwa bodaCha kwanza kabisa kuna certificate of import, inapatikana kwa fedha ya Rwanda laki mbili(200,000 Frws), ushuru, kilo moja mara ya mwisho ilikuwa 500 kwa kilo, hapo uhakika wa 100% unapata kwa watu wa forodha mpakani.
Kwann hawaamini kuwa Tz sio salama kwa wanyarwanda!? Walifanywa nini?Kama ilivyo kwa waTanzania, hilo ni jambo jepesi.
Kikubwa, familia yake ihakikishiwe usalama wake. Maana kutokana na mambo ya siku za nyuma, wengi(ambao siyo makabrasha), hawaamini kama Tanzania ni sehemu salama kwa mnyarwanda
Hii ni ndefu sana.Nipe historia ya chuki ya wahutu na watutsi!!!
Sifa mojawapo kubwa ya kabila ni LUGHA. sasa inakuaje wahutu na watusi ni kabila wakat wote wanaongea lugha moja?Ntakujibu kwa ninavyoelewa mimi( si precision ya 100%):
1. Si kweli. kwa sababu mifano ya taasisi zenye wasomi wa mfumo wa Kifaransa, ambao walio wengi ni wale wajulikanao kama wahutu, zipo. Mfano wa Rwanda Revenue Authority, na sehemu nyingine zinazohusika na pesa. Hawa, wana nidhamu ya hali ya juu. Si watu wa kukaa na kusubiri mshahara.
2. Si kweli kwa sababu ukifatilia, utagundua vigezo vinavyotumika kuweka watu kwenye makundi hayo ya ukabila, kila upande vipo. Utampata mtutsi mfupi, kiujumla zile sifa za watutsi hana. Na mhutu, utakuta ana kila sifa ya mtutsi. Na mbali na hilo, kwa sasa hivi ni ngumu, kwa sababu watu wanazaliana.
mfano mwingine, wanawake waliobakwa na Interahamwe mwaka 1994, ni watutsi, lakini wamezaa wahutu(kwa tunavoelewa kwamba mtoto ni kabila la baba'ke). Hawa, mbona wapo kwenye hizo ngazi?
3. Hata nyumbani kwako, huwezi kumuamini sana mjakazi kuliko mke wa ndoa. Hivyo,kutokana na historia ya nchi yenyewe, kuna watu wanaujua uchungu wa maisha kuliko wengine.
Kiukweli,ukiachana na wasomi na wanasisa wenye masirahi yao binafsi, raia wa kawaida wanampenda sana.Chaguzi zote kagame anaonekana kushinda kwa zaidi ya asilimia 90 ni kweli au anaiba kura
Ukianzia hapa mtandaoni, utaona.Kwann hawaamini kuwa Tz sio salama kwa wanyarwanda!? Walifanywa nini?
Maziwa yapo mengi sana, maandalizi tu ndo changamoto.Hebu nipe siri ya Amata na haswa 'Ikivuguto' kinatengenezwaje mbona ni matamu sana? Haswaa yale ya Nyabisindu hivi bado yako?
Na inawezekana kweli kufungua Branch katika miji yetu ya huku Bongo Cauntri?
Ndo maana ni kasema hivi vitu alileta mkoloni, mfumo wa Divide and rule, kwa sababu jitihada za mwanzo alizokuwa amejaribu aliferi.Sifa mojawapo kubwa ya kabila ni LUGHA. sasa inakuaje wahutu na watusi ni kabila wakat wote wanaongea lugha moja?
Hizo ni tribes au just ethnic groups??
1. Kama kweli kuna wanyarwanda wamepenyezwa, japo hilo silijui, naongea mimi kama mimi, huo ni udhaifu wa nchi walikopenyezwa. Tz haina chochote cha kumtoa udenda, kwa sababu kila nchi inaishi kwa uwezo ilio nao.1. ni kwa nn kagame amepenyeza watu wake ktk serikali ya tz, kwann isiwe ug au burundi?? tz ina nn hasa ambacho kinamtoa undenda mzee kgm
2. kati ya jwtz na jeshi la rwanda lipi unaliona jeshi bora kwako?
Karibu sanaNitakuja