Uliza chochote kuhusu Rwanda

japo si kwa Nia ovu ila Naamini kila mnyarwanda anapigana vita dhidi ya tabaka zingine since level ya familia yaani kuna ile spirit kuwa hawa si wenzetu na tunapaswa kuwa juu Yao kuwaongoza na ni haki yetu wao kuwa chini yetu, kitu ambacho sie wabantu ama watu tabaka tofauti na yenu hatukijui ndio maana hatuna jitihada, morali, shauku ama Nia ya kujimbanua ktk kizazi chetu zaidi ya kuamini ktk hakuna shida tuu
 
N2 uongo.... Jwtz wako vzr .
 
Saikolojia inatuambia kuwa mtu makini na genius huwa hana tabia za mizaha au kuchekacheka hovyo. Nikiwaangalia watusi naona kama wanazo hizo sifa za utulivu wanapoongea na umakini. Sio watu wa mizaha na kuchekacheka hovyo. TOFAUTI NA SISI HUKU TUMEJAA MIZAHA NA VICHEKESHO HADI TUMEANZISHA TUZO ZA UCHEKESHAJI NA MIZAHA. Hivi Rwanda kuna Mwijaku, Joti na Mpoki au
 
Nitaamini siku nikiona live Mtusi Mfupi.
Wapo mkuu, kaangalie ile kwaya ya ambassador
Nitaamini siku nikiona live Mtusi Mfupi.

Mkuu vep kuhusu cv ya Rowan Atkinson aka mr bean.
Nitaamini siku nikiona live Mtusi Mfupi.
Wapo mkuu unamkubuka yule adunje wa kwaya ambassadar of christ? Lakin pia wengine nmesoma nao.
 
Mkuu ujue watu wengne wamevurugwa ccm, wengne wanamahaba ya kutupwa na wanyarwanda na wengin kwasabab zao tuu bhas wanaamua kuitweza tz wanahisi JW ni sungusungu wa mtaani kwao.
Unaenda mbali Sana. Weka akiba ya maneno.
 
Sisi watanzania hususani wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa huwa tuna positive attitude kwa Wanyarwanda kwa sababu ya kuwa na the same background ya wakazi wote wa mikoa tajwa na Wanyarwanda ndiyo maana Kuna Wanyarwanda wanaishi Tanzania bila shida, je, Wanyarwanda wanamtazamo Gani dhidi ya Watanzania?
 
Ukubwa wa Kigali unalingana na Mwanza Jiji. Magufuli City padogo Sana.
Nimepata mfano halisi. Kigali inalingana na Manispaa ya Temeke.

Kigali city = 730 km²

Temeke = 656 km² (Ukiongeza na Kisemvule, Vikindu)
 
Hv uko rwanda je wachina wamejazana kama Tanzania? Mpk kuhatalisha bznes za wazawa?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wee jamaa kigali imejengeka na ina miundombinu ya maana sio ya kulinganisha na kahama, imeipita hata dom, itakuwa hujatalii huko kwa miaka mingi
 
Wee jamaa kigali imejengeka na ina miundombinu ya maana sio ya kulinganisha na kahama, imeipita hata dom, itakuwa hujatalii huko kwa miaka mingi
Kwani, walichokiongelea ni maendeleo au ukubwa? Kama maendeleo, hata Mwanza haigusi. Mi nilijadili ukubwa wake.
Na ukisema sijatalii, wapi nisipopajua Tanzania? Mi ni mnyarwanda. Kwa hiyo, naongelea nachokijua.
 
Ukiwa mtanzania, huwezi pata shida yoyote ukiwa kwenye ardhi ya Rwanda. Masai mashahidi.
 
Hv uko rwanda je wachina wamejazana kama Tanzania? Mpk kuhatalisha bznes za wazawa?
KAZI ni kipimo cha utu
Hamna kitu kama hicho. Waliopo, wapo kwenye kazi ambazo ni za mikataba au za maendeleo yanayonufaisha raia. Mara wanauza vyombo kama Kariakoo, mara sijui wana mitaji ya dola elfu 5, vitu kama hivyo hakuna.
 
Hivi, hiyo Mwanza unayoiongelea unaijua au unaongelea Mwanza ya mwaka 2000!

Mkuu, Mwanza nimefika na Kigali nimefika. Ninachosema City center ya Kigali inalingana na Mwanza City Center. Tofautisha Mwanza meteopolitan na Mwanza Jiji. Tena naweza kusema city center ya Kigali ni kubwa kuliko ya Mwanza. Ukija kwa eneo Mwanza wana eneo kubwa nje ya city center. Elewa ninachokiongelea.
 
Ok. City center ya Kigali inaanzia wapi na inaishia wapi, City Center ya Mwanza inaanzia wapi na inaishia wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…