VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
- Thread starter
-
- #241
Police wastaarabu sana, wana heshima sana, na wala rushwa, watakula ya raia siyo ya mgeni. Na mpaka ale hiyo rushwa, uwe na uhakika wa zaidi ya asilimia mia kuwa hiyo hela haiongei(kutoa taarifa). Maana ukidakwa, kifungo na kufukuzwa. Na kule ukifungwa miezi 6, kuna njia nyingi za mafanikio umejibania mazima.Majibu yamejitisheleza sana mkuu.
Hivi oolice wahuki vipi??wapo kama bongo wakikudaka wanataka rushwa,ukikaza wakubambikie kosa?
Kuna swali kangu oia hujanijibu kuhusu kagame kuweka masoy kila sehem,maana naskia ukimsema vibaya tu jamaa ni kosa.
Na mnatumia mobile money?
Jeuri ya Kagame inatokana na nguvu gani aliyonayo?Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Hivi, mnaanzaje kuwa na mawazo ya kwamba lazima mtu asali? Kumbuka, wapo wasioamini katika uwepo wa Mungu.ok sasa yeye anasali wapi?
Asante kwa taarifa mkuu.Police wastaarabu sana, wana heshima sana, na wala rushwa, watakula ya raia siyo ya mgeni. Na mpaka ale hiyo rushwa, uwe na uhakika wa zaidi ya asilimia mia kuwa hiyo hela haiongei(kutoa taarifa). Maana ukidakwa, kifungo na kufukuzwa. Na kule ukifungwa miezi 6, kuna njia nyingi za mafanikio umejibania mazima.
Spy ndiyo wapo kila kona. Na wewe unaongea yanayokuhusu, yasiyokuhusu unaachana nayo. Hao unaowaita maspy ujue wana uzoefu wa kukuchota maneno mwanzo mwisho, na kuyachambua. Ikionekana unalopoka tu, utaonywa na maisha yataendelea. Ila, ikionekana una connection na watu furani, kaa ubanwe utajuta kulopoka.
Mobilke money ndiyo, na huduma nyingi kwa sasa zipo kimtandao.
Si kwamba ni wao tu, hata wa Bongo ni hivyo hivyo. Mwanamke ukimdhalau na kumuonyesha kuwa si chochote, utajut. Ni wavumilivu sana.tena sana, Ila, akisema naondoka, ujue ndo mazima. Wala si kwamba atakufanya kitu kibaya.Eeh nitalia tena? kwani atachukua hatua gan mkuu hebu nitonye.. niwe na tahadhari
Lengo likiwa kuwatumia, na wewe ujiandae kutumika pia.Asante kwa taarifa mkuu.
Ngoja nimake some cash nije nitumie na watoto wazuri huko,wabongo wamenichosha
Nasema ukiwa mhuni mhuni, huwezi kuishi nae. Wamepitia mengi, kwa hiyo akikubali kuanzisha familia, ujinga ujinga hataki.Mkuu kua my wenu tena? Umenitisha, em tia nyama kidogo nikusome vizuri comrade.
Tutatumiana sio mbayaLengo likiwa kuwatumia, na wewe ujiandae kutumika pia.
ungeangalia muktadha wa swali langu kwanza,kuliko kukurupuka tu vwaaap na uharoHivi, mnaanzaje kuwa na mawazo ya kwamba lazima mtu asali? Kumbuka, wapo wasioamini katika uwepo wa Mungu.
Hapo juu unataka wanawake 10.Ni maeneo gani ndani ya Rwanda naweza kuwekeza?
Mkuu Hongera sana kwa kujibu kwa ustahimilivu pamoja na kukutana na maswali mengine ya hovyo. Ni kawaida mpakani jamii kuchanganyikana. Sijui hofu hii ya kuwanyanyapaa wanyarwanda ikitoka wapiTatizo ulilo nalo halina tofauti na kinachoendelea mashariki mwa Congo.
Je, ni nini hasa kinachopelekea kudai kwamba ni wanyarwanda? Unamaanisha uongozi wa nchi yako ni dhaifu kiasi cha kuruhusu hayo? Kwa kifupi, uhamiaji, usalama wa taifa, hawajui wanachokifanya?
Ebu weka akiba ya maneno, nchi haingozwi kama serikali ya mtaa.
Uwepo wao pengine, kama hawana madhala kiusalama, nilihisi ungekuwa faida ya ziada. Wanapolima, wateja ni watanzania. Kila kinachofanyika, ni kwa manufaa ya nchi.
Je, wasiwasi wako, ni kwamba na wao wanapata chance ya maisha?
Vipi kuhusu jawabu la Bw. MALCOM LUMUMBA ?Hapo juu unataka wanawake 10.
Ukiwekeza kwa wanawake siyo mbaya
Unajua, Rwanda miaka ya 1994 hadi 2000 na kitu, mnyarwanda yeyote alikuwa akitambulika kama muuaji.Mkuu Hongera sana kwa kujibu kwa ustahimilivu pamoja na kukutana na maswali mengine ya hovyo. Ni kawaida mpakani jamii kuchanganyikana. Sijui hofu hii ya kuwanyanyapaa wanyarwanda ikitoka wapi
Uko Sawa. Msalimie PK.Unajua, Rwanda miaka ya 1994 hadi 2000 na kitu, mnyarwanda yeyote alikuwa akitambulika kama muuaji.
Kumbuka, baada ya wakimbizi kurudishwa kwao, wapo walioofia maisha yao, na kuwa majambazi. Hivyo,ilikuwa wakikamatwa, sura ya ujambazi na mauaji walikuwa wakivishwa wanyarwanda wote. Kwa hiyo, mpaka leo hii, ukimwambia mtu kwamba ni wauaji, kama hana muda wa kutafuta taarifa za uhakika, akisikia we ni mnyarwanda, lazima utajuta.
Ndo maana sasa serikali zote popote hujitahidi kuhakikisha issue ya ujirani mwema inazaa matunda, upende usipende muingiliano wa watu lazima hauepukiki. Hasa pale unapokuta upande mmoja una fursa za maisha kuliko mwingine.
Hako ka Nchi kana nini Cha ziada zaidi ya Wanawake wenye visimi virefuUna chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Mbona kuna watanzania wengi tu wameo WanyarwandaJe mwanamke wa Rwanda anaweza kukubali kuolewa na mtanzania na kuja kuishi huku?
Inategemea na akili ulizo nazo. Kama unachokiwaza tu ni visimi virefu, hata fursa nyingine utakazoziona ni chupi na matako tu.Hako ka Nchi kana nini Cha ziada zaidi ya Wanawake wenye visimi virefu