Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,330
- Thread starter
- #61
Nyumbu unafurahisha sana.Kiingereza anachoenda kuongea ni cha kusoma, na kusoma anaweza. Ww sema hutaki aongee hicho kiingereza ili kumfichia aibu Magufuli maana alikuwa hakiwezi. Asiyejua kiingereza huku kwetu kuna uchambuzi wa hicho atakachokuwa ameongea.
Maana wakenya wanakijua Kiswahili, lakini pia hadhira lengwa inawahusu na watanzania ambao nao wanakijua Kiswahili.
Hicho Kiingereza cha kusoma kwenye Karatasi ni kwa ajili ya nani haswa?