Ziara ya Rais Samia nchini Zambia yazaa matunda, sasa ujenzi wa bomba la gesi kuanza

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya Kitaifa ya siku tatu ya Nchini Zambia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hio Hakainde Hichelema.

Akiwa Zambia, Rais Samia na Rais wa Zambia Mh. Hakainde wameshuhudia kusainiwa kwa Mikataba nane ya Ushirikiano wa Nchi hizo mbili.

Mikataba hiyo ni pamoja na
i). Hati ya Makubliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia kuhusu Mradi wa Usafirishaji Gesi Asilia kutoka Tanzania Kwenda Zambia.

ii). Hati ya Makubaliano kati ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania na Wakala wa Maendeleo Zambia.

ili. Hati ya Makubaliano kati ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania na Wakala wa Maendeleo Zambia.

iv. Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia katika Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.

v. Mkataba wa Utekelezaji kati ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jeshi la Ulinzi la Zambia kuhusu programu ya kubadilishana Wanafunzi wa Kozi ya Ukamanda na Unadhimu.

vi. Mkataba wa Utekelezaji kati ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jeshi la Ulinzi la Zambia kuhusu programu ya kubadilishana Wakufunzi wa Kozi ya Ukamanda na Unadhimu.

Vii. Mkataba wa Utekelezaji kati ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jeshi la Ulinzi la Zambia kuhusu programu ya kubadilishana Wanafunzi wa Kozi ya Afisa-Cadet na

viii. Mkataba wa Utekelezaji kati ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jeshi la Ulinzi la Zambia kuhusu ushirikiano katika Huduma za Tiba.

Wasafi TV

====

Katika mambo 8 waliyojubalinana ni pamoja na ujenzi wa Bomba La Gas kutoka Tanzania Hadi Zambia.

My Take
Tumesaini makubaliano ya hivi na Kenya, Uganda na Zambia.

Mbona hatuoni progress za utekelezwaji?
 
Wameshindwa kulitoa Mtwara mpk Dar tu hapo
 
Mi ndo maana nasema huyu Rais NI mwanamke lakin anajiweza Sana kila siku nazidi kumpenda
 
Ule mradi wa bomba la gas Kwenda Mombasa ulifia wapi?
Huyu bibi kila saa mikataba isiyo na tija!
 
Nimeuliza kwenye conclusion yangu anaejua progress aweke
 
Acha ufala hiyo ni gesi ipi maana hatuna gesi mpaka 2057
 
Miradi iliyopo imemshinda!!
 
Attachments

  • C33967EF-4E25-4AD0-97FF-F3A7C22691C2.jpeg
    C33967EF-4E25-4AD0-97FF-F3A7C22691C2.jpeg
    64.6 KB · Views: 3
  • B971E6CE-4F19-4FC9-A92D-2198F6AC927F.jpeg
    B971E6CE-4F19-4FC9-A92D-2198F6AC927F.jpeg
    92.4 KB · Views: 3
  • 32A0FDF3-C9C0-486C-8D33-53429F3CF368.jpeg
    32A0FDF3-C9C0-486C-8D33-53429F3CF368.jpeg
    66.2 KB · Views: 3
Hawa hawajui wanatupeleka wapi!
 
Attachments

  • 92F12BCA-0B10-42EB-B0CA-7F512A42B5FD.jpeg
    92F12BCA-0B10-42EB-B0CA-7F512A42B5FD.jpeg
    20.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom