Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,330
- Thread starter
- #21
Unaandika mambo meeeeengii... ujinga mtupu! — Kuandika kwenyewe hujui.Dunia ya sa hv kingereza ni lazima ukijue tena vizur ..tusijidanganye kabisa ..... Kwa Kenya haina shida wale ni waswahili Tu fresh , lakn zaidi ya yote kingereza ni lazima ukijue ili utoboe ....hyo ni international language..acheni ujinga wa jiwe wa kujifungia ndani na kuwakomoa wananchi wake na mikodi ya ajabu ajabu alaf hela zianenda kwenye midege huko mnabaki mnashindia majani ya michicha na ugali
Ni sawa, Kiingereza kina umuhimu wake. Lakini pia kina mahala pake.
Tutambue mahala sahihi pa kukizungumza.