Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ni inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.

Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?

Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.

Nimeshiba sasa 😂😂😂🙌
njoo unipopoe
 
kwa nini unitukane sasa mimi na ww nani idiot
chuki nyingi zinaanza na uzushi kama ulioandika, wahindi wa Tanzania walianza kuchukiwa na kuvamiwa kwa siasa za gabachori na uzawa, South Africa same shit, acha story za kichochezi
 
Wakati wakoloni wanagawana Africa hawakutenga kimakabila.
Kuna wanyarwanda, kuna wahima na kuna watusi! Haimaanishi kitu kile kile.
Kwa mkoa wa Kagera ukiwaondoa wahima/watusi itabid ufute 75% ya watu wote!
Hata wanaoitwa "Wakama" kama Kaitaba ni wahima!
EAC itaondoa hii kitu taratibu.
Bora tutumiane kuliko kufukuzana
 
Kama wapo TZ kihalali na wamekuwa naturalized wana haki zote kama raia wengine nchini hata kushika uongozi isipokuwa urais na umakamu tu kama hawajazaliwa nchini. Watz wangapi wana uraia nchi zingine?

Kuwa na umoja ain't none wrong with that. Nyie mmekatazwa kuwa na umoja? Kinachowasumbua wabongo ni inferiority complex huwa mkisikia rwanda tu mnaloa. Uraia pacha wenyewe mnaogopa as if nyie ndo mtakua nchi ya kwanza kuwa na uraia pacha.
Namshangaa mtoa hoja! Kwahiyo kuna siku Wahangaza watarudi Rwanda?
 
Yule nilishamshtukia, anajidai muhaya lakini mtu wa Rwanda yule
Baba yake anaweza kuwa muhaya ila mama yake ni mnyarwanda, nae kafanana ujombani, anyway kuna watu wengi wana asili ya huko sio dhambi, ila haipendezi kuona takataka nchi iliyowasitiri uzao wako vizazi kwa vizazi,

Wanaamini kukubali utanzania ni kama kujidhalilisha hapo ndipo tatizo lao wengi lilipo
 
Back
Top Bottom