mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,219
- 6,499
Popoma?kwa nini chai au nimekugusa mkuu wangu huamini kuna memba mmoja hapa ni mtazania lakini humwambii chochote kuhusu tutsi yaani ni mbishi hatari
Popoma?kwa nini chai au nimekugusa mkuu wangu huamini kuna memba mmoja hapa ni mtazania lakini humwambii chochote kuhusu tutsi yaani ni mbishi hatari
Rwanda na hao wanyarwanda mbona wako overrated kiasi hicho?Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
Watanzania are harmless. Na wengi tuna uoga. Tofauti na hao wenzetuUmejibu vzr mno,Mkuu pale Lubumbashi,DRC , Watanzania Wana umoja wao na watu wanakutana kukadili
Mimi simchukii mtu na nisamehe kama nimekukwaza ila nilijaribu kuwaonya migration na Nida wamezidi kwa rushwa laiti ungejua mi ni mtu wa wapi basi usingesema nawachukiachuki nyingi zinaanza na uzushi kama ulioandika, wahindi wa Tanzania walianza kuchukiwa na kuvamiwa kwa siasa za gabachori na uzawa, South Africa same shit, acha story za kichochezi
cha muhimu utaratibu ufatweYou tell me!
Waha watarudi Burundi?
Wamasai na waluo Kenya?
Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote, regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.
Amakurumwee
Unavuta bange?Shida ni wabongo. Hizi nyuzi hazijaanza leo humu.
8/10 wabongo wanawaogopa warwanda ile mbaya. Wakisikia rwanda/Kenya tu wanaloa hadi unashangaa.
Kabla hatujajunga, inatakiwa KENYA, RWANDA, BURUNDI mlete mezani nyie mna kipi cha KU-OFFER.Wakati wakoloni wanagawana Africa hawakutenga kimakabila.
Kuna wanyarwanda, kuna wahima na kuna watusi! Haimaanishi kitu kile kile.
Kwa mkoa wa Kagera ukiwaondoa wahima/watusi itabid ufute 75% ya watu wote!
Hata wanaoitwa "Wakama" kama Kaitaba ni wahima!
EAC itaondoa hii kitu taratibu.
Bora tutumiane kuliko kufukuzana
Hiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
TZ ya sasa haimuwezi hata Burundi.Hiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.
Rwanda ilikuwako kabla ya Kagame na ataondoka na Rwanda ataiacha. Tanzania ni giant country na tumekuwa tuna absorb shocks za nchi zote majirani ambazo zinatuzunguka wanapopata political instabilities. Msiwape umaarufu kuwa eti Kagame anawatuma kutu spy!! Yeye mwenyewe kasomea Monduli CTU na kafundishwa na trainers wa Kitanzania