mbona umeshka tama
Nipo Heri, majukumu tu yanabana,
Japo huyu maza anawakazia ila bado haitoshi, tuliowahi kuishi nao ndo tunajua hulka zao kwa undani,, sumu inaanza tangu mtoto akiwa mchanga, wakiona una feature za kufanana nao basi wanakuweka karibu, na kuanza kukunywesha sumu mbaya mno,,, anakuja mikono nyuma ila akizoea tu anapandisha mabega
muendelee hivohovo kutuchekeaHawana chochote cha kutufanya,Tanzania sio congo
Hizo ni conspiracies na myths tu, Wanyarundwa ni Waafrika kama Waafrika wengine wowote wale. Inawezekana unawaona wamekaa ki trojan horse kwa sababu ya aina ya utawala uliopo sasa Rwanda, ukiingia utawala tofauti utawaona tofauti pia.yaani hata mgekuwa mnawabeba mgongoni wao wapogi hivyo na wanafundishwa tangu wakiwa wadogo
b
ufa naakujua we ni wa kule
Unajua kichapo walichokula hao JWTZ juzi tu hapo kutoka Jeshi la Rwanda lakini au umelewa visungura??Wanyarwanda wako ndio watafanya nini hapa? Pamoja kuwa CCM na samia wameleta mipasuko ya ndani kwa ndani waambie waje wajaribu kama walivyofanya kongo.
Wanawake wa kinywranda ni wazuri sana,km unaeza nenda kaoeKama kunakaukweli hivi, mama angu ni mnyarwanda.
Hua ananisistiza sana nikitaka kuoa niende rwanda nikaoe kule.
Wanakaubinafsi na sifa kama wahaya tu.
Ila tupendane sisi ni wamoja, wa africa
Hahahaha, usikute hajui kuwa Kuna baadhi walikua mateka kwa mudaUnajua kichapo walichokula hao JWTZ juzi tu hapo kutoka Jeshi la Rwanda lakini au umelewa visungura??
Umejibu vzr mno,Mkuu pale Lubumbashi,DRC , Watanzania Wana umoja wao na watu wanakutana kukadiliKama wapo TZ kihalali na wamekuwa naturalized wana haki zote kama raia wengine nchini hata kushika uongozi isipokuwa urais na umakamu tu kama hawajazaliwa nchini. Watz wangapi wana uraia nchi zingine?
Kuwa na umoja ain't none wrong with that. Nyie mmekatazwa kuwa na umoja? Kinachowasumbua wabongo ni inferiority complex huwa mkisikia rwanda tu mnaloa. Uraia pacha wenyewe mnaogopa as if nyie ndo mtakua nchi ya kwanza kuwa na uraia pacha.
Na ndio inatakiwa kuwa HiviUko sahihi hasa serikali lege lege hii, maana wao huwafundisha watoto tangu wadogo kuwa wao ni special ones, wana akili, muonekano matajiri yani kila zuri wanastahili wao na wameumbwa kutawala, mfano ni yule wa kuitwa jasinta makwabe, anajita mtz kwasababu Tz ndo inampa ugali ila akiwa rwanda anafeel happy na kuwa yupo kwao,,, sasa hiyo ni hatari sana
Wala sio inferiority complex ya wabongo ukifatilia vizuri wabongo hawana time na rwanda ila wanyarwanda ndio wanajipa promo kwenye mitandao
Mtanzania hawezi kufanya kitu kwa usahihi na umakini,ni kulalamika lalamika tu, hawezi kupambanaNi inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.
Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?
Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.
HahahahaKagame is overrated over
Kuwaje?Na ndio inatakiwa kuwa Hivi
ChaiKama kunakaukweli hivi, mama angu ni mnyarwanda.
Hua ananisistiza sana nikitaka kuoa niende rwanda nikaoe kule.
Wanakaubinafsi na sifa kama wahaya tu.
Ila tupendane sisi ni wamoja, wa africa
👍Upuuzi mtupu, huna tofauti na wale idiots weusi wa South Africa