Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

yaani wanyarwanda bana...

yaani kalala kaamka kaona hana mtu wa kuanza kumtolea masifa ya kijinga kaona atoe uzi wa kujisifu ujinga

halafu wanyarwanda wanadhani wote wana akili kama kagame,kumbe kagame ni individual tu mmoja mwenye akili zake binafsi

uzuri atakufa halafu vichaa watashika nchi wanavuruga kama kawaida yetu waafrika...mpaka aje kupatikana kagame mwingine ni miaka 40 ijayo
hapana mkuu hii ni tahadhari ebu angalia wanyaru wote wa bongo wanashabikia arsenal
 
Huoni tatizo ?

Kikazi kinachojiona ni special katikati yenu kitakuja kuwachinja.

Wataishi wakijitenga, kutafuta maslahi yao na kukusanya nguvu za kiuchumi, kisiasa na kijeshi. Siku mkishtuka mkawapinga wanakuja kuwachinja.

Kwa nn Polepole ameuliwa ? Na ameuliwa baada ya kumsema vibaya nani ???? Babaake alikuwa anauza nafaka Tabora in the 60s, Nyerere akasema tusibague, leo amenunua nchi na anatuchinja tukimpinga.

Na yule Mpemba aliyekuwa anauza samaki Msasani Mandazi Road in tne 80s. Leo ni mshauri wa Raisi kitengo cha kuingiza silaha, amemwaga damu za Watanganyika 10,000 ndani ya siku 3 ....

Nyerere aliharibu sana kutepetesha utambuzi wa Mtanganyika na kumeambia mpokee mtu yeyote wa dunia.
Sioni tatizo lao ni watu wa kawaida mno ,, mnawakuza kindezi tu
 
Warundi na warwanda ni watu wema bado, motive yao kubwa Tanzania ni malisho kwa ajiri ya ng'ombe baaasi.

Hawana muda na siasa, hawana muda na madini, hawana muda na ajira za serikalini...
lakini pia ni Vimwana, tunawaoa, japo wao hawaoi mswahili..
Hawapendelei kuishi kwenye miji mikubwa mikubwa, wanapendelea kujificha ficha usukumani, kigoma, Ngara na Karagwe.

Ila sasa na wao wanatakiwa wa- introduce Population policies.
wanaongezeka kwa kasi huku wakijua nchi zao ni full occupied.
Kwa mfano leo Rwanda wapo milion 14,
Ambayo ni Population ya mikoa 5 ya Tanzania. kama Tabora, Katavi, Singida, Dodoma na Morogoro...
Rwanda ina ukubwa sawa na mkoa wa Kagera.
 
Back
Top Bottom