Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,724
- 96,814
Mtoto anafundishwa mapema asili,wajihi na kila kituKuwaje?
Mtoto anafundishwa mapema asili,wajihi na kila kituKuwaje?
Mbona hata Wahindi na Wasomali wanaoana wenyewe kwa wenyewe?!Kama kunakaukweli hivi, mama angu ni mnyarwanda.
Hua ananisistiza sana nikitaka kuoa niende rwanda nikaoe kule.
Wanakaubinafsi na sifa kama wahaya tu.
Ila tupendane sisi ni wamoja, wa africa
Sema wewe hata matajiri wanaoana wenyewe kwa wenyeweMbona hata Wahindi na Wasomali wanaoana wenyewe kwa wenyewe?!
Ni rahisi zaidi Mkenya au Mnyarwanda kuja Tanzania kuliko mbongo kwenda Rwanda au Kenya, Tanzania ina fursa nyingi ambazo hazijatumiwa vizuri na wazawa.Ni inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.
Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?
Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.
Ubaguzi uko kila mahali, hata Waislamu wanaoana wenyewe kwa wenyewe, Wakristo nao wanaoana wenyewe kwa wenyewe pia. Labda ni vile tu ubaguzi mwingine huwa unahalalishwa na jamii ikiwa ni jamii kubwa au kama haugusi maslahi ya jamii nyingine.Sema wewe hata matajiri wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Bro umewahi kufika karagwe,Ngara, Tunduma, Mtambaswala,?Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
Mtanzania hawezi kufanya kitu kwa usahihi na umakini,ni kulalamika lalamika tu, hawezi kupambana
Hakika umesema kweliUbaguzi uko kila mahali, hata Waislamu wanaoana wenyewe kwa wenyewe, Wakristo nao wanaoana wenyewe kwa wenyewe pia. Labda ni vile tu ubaguzi mwingine huwa unahalalishwa na jamii ikiwa ni jamii kubwa au kama haugusi maslahi ya jamii nyingine.
Ni rahisi zaidi Mkenya au Mnyarwanda kuja Tanzania kuliko mbongo kwenda Rwanda au Kenya, Tanzania ina fursa nyingi ambazo hazijatumiwa vizuri na wazawa.
Kuna watu bado wana hang over ya vita ya Kagera, ambayo kila MTZ alishirikiHahahaha, usikute hajui kuwa Kuna baadhi walikua mateka kwa muda
Nilijua tu 🤣Misigare Amahoro
Ndakubhonyeunamanisha nini dada
UlahezeNilijua tu 🤣
Wambonye hehe 😜Ndakubhonye
🤣🤣🤣 yoooUlaheze
Yule nilishamshtukia, anajidai muhaya lakini mtu wa Rwanda yuleUko sahihi hasa serikali lege lege hii, maana wao huwafundisha watoto tangu wadogo kuwa wao ni special ones, wana akili, muonekano matajiri yani kila zuri wanastahili wao na wameumbwa kutawala, mfano ni yule wa kuitwa jasinta makwabe, anajita mtz kwasababu Tz ndo inampa ugali ila akiwa rwanda anafeel happy na kuwa yupo kwao,,, sasa hiyo ni hatari sana
UliheheWambonye hehe 😜
🤣🤣🤣 yooo
Mke wa m7 ni mnyarwanda..Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.

🤣 NdekaUlihehe