Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Kwahiyo Wahangaza kuna siku watarudi Rwanda?

You tell me!

Waha watarudi Burundi?

Wamasai na waluo Kenya?

Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote, regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.
 
Badala ya kushughulika na waarabu na wahindi walio teka uchumi wa nchi unagangaika na wanywarwanda?upumbafu wa mtu mweusi.
 
Wabongo wengi wanasumbuliwa na "lack of Exposure + inferiority complex", wanyarwanda hawana lolote la kumtishia mbongo aliesafiri na anaejielewa. Nilipita Kigali pale hamna cha maana kulinganisha na jiji letu la salama. Kwa usafi wa barabara kidogo wametuzidi lakini mengine very overrated. Watu wakiwaona warembo wao online basi wanadhani totoz zote ziko vile kumbe hawajui wanaowaona ni ile cream ya juu ambayo hata bongo hizo pisi kali zipo tena nyingi sana, wasichoelewa hata huko Rwanda kuna pisi za miguu ya kushoto pia. Kingine, wabongo tuna kipaji cha kupendwa, nilikaa Kigali pale nilizicharaza pisi kali kali maana wakisikia mtz wanaloa wenyewe hata kabla ya kuhitaji services. Baba wa Taifa alituachia heshima kubwa sana nchi nyingi uwa nikitia timu nikisema original from Tz, heshima napewa za kutosha. Rwanda is good country in east africa, security wise wako vizuri, ila vitu vingi overrated. Bongo tumewaacha mbali ila ndio hivyo hatujiamini kwa wageni.
 
You tell me!

Waha watarudi Burundi.

Wamasai na waluo Kenya.

Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.
Stray question—nilikusudia kumuuliza mtoa hoja. Sijui swali lilipoteaje njia. Nalihamisha!😁
 
You tell me!

Waha watarudi Burundi.

Wamasai na waluo Kenya.

Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.

You tell me!

Waha watarudi Burundi.

Wamasai na waluo Kenya.

Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.
Hakuna mhangaza au mnyarwanda aliezaliwa na kukulia bongo akataka kwenda Rwanda, Nina jamaa zangu wengi sana nimesoma nao primary, secondary hadi vyuoni wenye asili ya Rwanda na wahangaza, wanyambo hakuna wanaotaka kua wanyarwanda, wengi hawataki kukusikia huko mnakosema kwao. Asili yao ni kule lakini kwao ni bongoland na wala lugha ya kule hawaijui zaidi ya kiswahili. Tusibaguane wote ni wamoja, hii mipaka iliwekwa na wakoloni tu wandugu.
 
I agree.

Na wapo wahangaza wengi tu waliozaliwa TZ toka enzi za mababu zao, huko Rwanda kwenyewe wakienda kiholela watafukuzwa.

Makabila yote ya mipakani ni hivyo hivyo pia. Ndo maana nikasema ukianza na wahangaza waha je? wamasai, waluo, wakurya, wanyaki je? It never ends.

Woga against RW ni inferiority complex ya mitanganyika against wageni. Ukisikiliza wabongo kwa umakini utagundua wanaogopa wageni sababu wanaamini watazidiwa maarifa yani wanajiona wao ni bomu/wanyonge.
 
Back
Top Bottom