Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Kwasasa ukabila au asili ya utaifa wa mtu Haina maana coz hata nchi kubwa kama america iliwahi PATA mjaluo wa kenya na bado america ilitimiza malengo yake kama taifa!!

Kwa nchi za kiafrika tunapaswa tuboreshe katiba na Sheria zetu ili akiingia hata mwenye asili ya Asia asiharibu coz maendeleo ya taifa yanaletwa na RACE zote na sio kabila Moja au jamii fulani pekee!!

Tuboreshe katiba ili ajaye asiharibu hata kidogo awe mtutsi,au mnyambo awe mzungu and the like ASIHARIBU!!

kazi na utu hebu tusonge mbele!!
 
Uko sahihi hasa serikali lege lege hii, maana wao huwafundisha watoto tangu wadogo kuwa wao ni special ones, wana akili, muonekano matajiri yani kila zuri wanastahili wao na wameumbwa kutawala, mfano ni yule wa kuitwa jasinta makwabe, anajita mtz kwasababu Tz ndo inampa ugali ila akiwa rwanda anafeel happy na kuwa yupo kwao,,, sasa hiyo ni hatari sana
huyo jasinta makwabe ni nani huko dsm
 
mimi alafu siongelei uraia wa mtu naongelea mambo yanayoweza kutokea mbeleni

Huko mbeleni wakiwa raia wana haki zote kama wewe no more or less.

Katiba ya TZ mnayoililia kila siku inasema raia yeyote wa TZ ana haki sawa na raia wengine wote regardless ya dini, rangi au background yake. Only President, VP ni lazima wawe wazawa wa TZ so hao unaona wageni leo wakiwa raia wanaweza kuwa hata mawaziri na hamna kitu mtafanya. Cha msingi jijengeni muweze kucompete on the global stage.
 
Hakuna mbongo anaeogopa wageni uku ruvuma kuna wakenya wengi sana wanalima mahindi wana export kwenda kwao na hakuna shida,kuna magari mengi ya warwanda wanachukua coal na karanga kupeleka kwao na hakuna shida.
Shida ni CCM wala sio wabongo

Shida ni wabongo. Hizi nyuzi hazijaanza leo humu.

8/10 wabongo wanawaogopa warwanda ile mbaya. Wakisikia rwanda/Kenya tu wanaloa hadi unashangaa.
 
Kwasasa ukabila au asili ya utaifa wa mtu Haina maana coz hata nchi kubwa kama america iliwahi PATA mjaluo wa kenya na bado america ilitimiza malengo yake kama taifa!!

Kwa nchi za kiafrika tunapaswa tuboreshe katiba na Sheria zetu ili akiingia hata mwenye asili ya Asia asiharibu coz maendeleo ya taifa yanaletwa na RACE zote na sio kabila Moja au jamii fulani pekee!!

Tuboreshe katiba ili ajaye asiharibu hata kidogo awe mtutsi,au mnyambo awe mzungu and the like ASIHARIBU!!

kazi na utu hebu tusonge mbele!!

Word.

Hawa wamatumbi wanaoloa wakisikiwa Rwanda tu hawawezi kuelewa hilo. Wao wanajua watashindwa tu wakicompete na warwanda ndo maana JPM aliwaitwa wanyonge na wao wanashangilia.
 
Back
Top Bottom