TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,310
- 10,943
There is no special about you,washamba,nchi yenu ya kishamba,ninyi wenyewe washamba mnaobebwa na kitengo cha propaganda ila there is nothing special about you guys.muendelee hivohovo kutuchekea
There is no special about you,washamba,nchi yenu ya kishamba,ninyi wenyewe washamba mnaobebwa na kitengo cha propaganda ila there is nothing special about you guys.muendelee hivohovo kutuchekea
Naunga mkono hojaNi inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.
Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?
Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.
Oops🤣 Ndeka
😅Oops
Hawana issue yoyote. Wamejaa Bukoba na Karagwe huko. Hawana tofauti na watz wengine.Wakae tu sioni tatizo lao , wanyarwanda wapo overrated sana, kitu ambacho sio kweli.
nimesikitika!mbona umeshka tama
Kabisa , nawaona hivyo sema tu wanapenda kujivunia kwao , ila vingine hakunaHawana issue yoyote. Wamejaa Bukoba na Karagwe huko. Hawana tofauti na watz wengine.
Facts right there mkuu. Watz tumebaki kuwa distractedHuku nyie wenyewe kwa wenyewe mna kandamizana na kuumizana
Raia ndani ya nchi yake anaishi kama digi digi tu
Hawa na wasomali hawana tofautiNatanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
🤣🤣🤣Tumewachekea wazanzibari, leo hii wanatutawala kiutani utani! Tena wanajivinjari kweli kweli. Hivyo sishangai. Watanganyika hatuna tofauti na nyumbu au misukule.
Niambie kichapo gani?Unajua kichapo walichokula hao JWTZ juzi tu hapo kutoka Jeshi la Rwanda lakini au umelewa visungura??
sidhani mkuu hawa tunaozungumzia ni wa huku bongolandHizo ni conspiracies na myths tu, Wanyarundwa ni Waafrika kama Waafrika wengine wowote wale. Inawezekana unawaona wamekaa ki trojan horse kwa sababu ya aina ya utawala uliopo sasa Rwanda, ukiingia utawala tofauti utawaona tofauti pia.
nasikia huko jijini rwanda uwe ba hela aun usiwe na hela ukiamua kuwa singo ni shida zako mwenyewe, watoto wa wa huko hawajui neno hapana.Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
Chainasikia huko jijini rwanda uwe ba hela aun usiwe na hela ukiamua kuwa singo ni shida zako mwenyewe, watoto wa wa huko hawajui neno hapana.
yaani ndo ilivyo kwanza hawataki michanganyo akija kwako ujue kafata kitu fulani alafu hawaamini wabongo hata kidogoKama kunakaukweli hivi, mama angu ni mnyarwanda.
Hua ananisistiza sana nikitaka kuoa niende rwanda nikaoe kule.
Wanakaubinafsi na sifa kama wahaya tu.
Ila tupendane sisi ni wamoja, wa africa
Hakuna mbongo anaeogopa wageni uku ruvuma kuna wakenya wengi sana wanalima mahindi wana export kwenda kwao na hakuna shida,kuna magari mengi ya warwanda wanachukua coal na karanga kupeleka kwao na hakuna shida.Ni inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.