Hiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.
Rwanda ilikuwako kabla ya Kagame na ataondoka na Rwanda ataiacha. Tanzania ni giant country na tumekuwa tuna absorb shocks za nchi zote majirani ambazo zinatuzunguka wanapopata political instabilities. Msiwape umaarufu kuwa eti Kagame anawatuma kutu spy!! Yeye mwenyewe kasomea Monduli CTU na kafundishwa na trainers wa Kitanzania