Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,616
- 5,771
- Thread starter
- #21
exactly asante kwa comeback nzuri imagine ni mwanamitindo akiwa sehemu ya ugali anajiita mtz akienda kwao mnyarwanda na kinyarwanda anaongea.JamaniUko sahihi hasa serikali lege lege hii, maana wao huwafundisha watoto tangu wadogo kuwa wao ni special ones, wana akili, muonekano matajiri yani kila zuri wanastahili wao na wameumbwa kutawala, mfano ni yule wa kuitwa jasinta makwabe, anajita mtz kwasababu Tz ndo inampa ugali ila akiwa rwanda anafeel happy na kuwa yupo kwao,,, sasa hiyo ni hatari sana
anyway kapeace nimekumiss long time sijaona reply yako