Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

UKUNTU ABAKENE BANYURAHO BASEKA BAREBA IBIMODOKA BY'ABAKIRE BABYIMYE INZIRA. ABAHISEMO KUGENDA MURI IZO RUHURURA NA BO BAKAGENDA BICIRAGURAHO
UBU NIBWO KWIBERA UMUTINDI BIFITE HIT MURI KIGALI 😂😂😂😂😂
 
Kama wapo TZ kihalali na wamekuwa naturalized wana haki zote kama raia wengine nchini hata kushika uongozi isipokuwa urais na umakamu tu kama hawajazaliwa nchini. Watz wangapi wana uraia nchi zingine?

Kuwa na umoja ain't none wrong with that. Nyie mmekatazwa kuwa na umoja? Kinachowasumbua wabongo ni inferiority complex huwa mkisikia rwanda tu mnaloa. Uraia pacha wenyewe mnaogopa as if nyie ndo mtakua nchi ya kwanza kuwa na uraia pacha.
Uraia pacha una matatizo yake na ni mjadala mwingine ila sioni shida ya Wanyarwanda au binadamu wengine wowote wale kutoka popote duniani kama wanahamia kwenye nchi kwa uwazi, utaratibu na vigezo maalumu.
 
Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.

Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.

Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.

Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.

Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.

Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
KAGAME MREFU SANA
 
hapo kwenye uwazi na vigezo manjangu mkoa fulani wao huwa wanakaa kila baada ya mda wanaenda kuwasumbua sumbua wanawapa pesa maisha yanaendelea baada ya mda hivohivo
 
Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.

Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.

Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.

Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.

Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.

Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
Kwa hiyo tufanyeje?
 
Ipo hivyo mfano KATORO GEITA wamejaa tabora usiseme halafu wanaubaguzi hatari Mtanzania unatemewa mate kisa wao wanajielewa
 
Back
Top Bottom