Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

Kama una akili timamu nenda kwenye vijiwe vya boda boda, mama lishe na baba lishe, walimu, maafande n.k Sikiliza maongezi yao. Dont be shit
 
Ni kweli Mama Abdul anauza Tanganyika tena kwa bei poa.
 
Leo umeweka mahaba pembeni.. Mnaanza kuuona ukweli sasa.. Jitahidini chukueni muda muwaelimishe na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna kitu nakiona sana ktk mitandao kuhusu mtu anaeitwa ABDUL;
Huyu ni nani?
Anafanya taasisi gani?
Ni mtoto wa wakubwa au?
 
Unajitekenya huku unacheka mwenyewe Hakuna mwananchi anayetaki ujinga wa uvunjifu wa amani
1.Watu wana ndugu wagonjwa wako mahospital.
2.Wazee
3.Wanawake
4.Watoto
5.Wajawazito
Hawa wanaoleta vurugu wasiwache,wapelekewe moto,mpaka watie akili.Mwalimu Nyerere hakuwachekea wavunja amani.
 
Nani kavunja amani na wapi?
 
Sina hakika kama nitakuwa naelekea kukuelewa au mimi ndiye bure kabisa.

Kwa hiyo Mkataba ukiwa na vigezo vya Viena ndio usiweze kuwa na maslahi ya nchi husika utakamo fanyiwa kazi?
 
Sukuma gang acha kupoteza mda,kiki imebuma wanaotakiwa kusema ni wafanyabiashara sio kenge wa aina nyingine yeyote
 
Wewe ndio unaletewa ushoga kwa vingele vya kimataifa sasa utakubali ugeuzwe ili vingele vikamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…