100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,683
- 38,329
Kama Mussa aliua Mmisri ambae alikuwa anamtesa na kumpiga myahudi, mimi ni nani nisilipe kisasi kwa ajili ya ndugu yangu? , mimi nimechukua nafasi kama ndugu ya huyo dada, angalikuwa ndugu yangu ningemmaliza huyo Kweka, tena kikatili...Wewe ni Nani Mpaka uhukumu