Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Huna ubavu huo..ukileta za kuleta anakuzima kwanza na french kiss moja matata afu mambo mengine yafatee ..inaonekana hata ukipigwa Kofi moja utanuna siku nzima na kuwa mwekundu USO🫵🫵🫵🤣🤣
Maisha yangu yote, sijawahi kupigwa kofi usoni wala kipigo chochote na mpenzi wala mume.

Ikitokea basi ndoa imekwisha, naamini mtu akikuonyesha violence mara moja haitakua mara ya mwisho. Sitasubiri yanikute ya Jane.
 
Binti wa zamani et al. Kwa vile amezikwa:

1. Je, Jane alikuwa anaishi Mapinga kwa nani?
2. Tunajua kulikuwa na graduation ya mwanae, je ndipo arudi kukaa kwa mtu uliyemkimbia na kwenda kuishi na mwanaume mwingine?
3. Unajua hata watoto walikuwa hawafurahii kitendo cha yeye kuondoka na kuishi na mwanaume mwingine ndo maana walimpigia simu baba yao na kumtaarifu kuwa mama yao amerudi.

Kabla ya kufanya majumuisho, fanya utafiti kwanza
 
Mambo ni Moto.kumbe alikuwa anaishi na mchepuko.
 
Binti wa zamani et al. Kwa vile amezikwa:

1. Je, Jane alikuwa anaishi Mapinga kwa nani?
2. Tunajua kulikuwa na graduation ya mwanae, je ndipo arudi kukaa kwa mtu uliyemkimbia na kwenda kuishi na mwanaume mwingine?
3. Unajua hata watoto walikuwa hawafurahii kitendo cha yeye kuondoka na kuishi na mwanaume mwingine ndo maana walimpigia simu baba yao na kumtaarifu kuwa mama yao amerudi.

Kabla ya kufanya majumuisho, fanya utafiti kwanza
Kwanza punguzeni kuokota umbea wa mitandaoni, nimeweka interview ya dada Jane kwenye huu uzi, ameeleza vizuri ni wapi alikua anaishi, kwanini aliondoka na kwa sababu gani alirudi nyumbani jioni ile kabla hajauawa.

Ungeisikiliza usingeandika huu 🚮🚮🚮 wako!
 
Mwanaume gani unaenda kushinda kwa mamako miezi sita kama sio ujuha ni nn ??

Hiyo nyumba alitaka kuuza familia ikakae wapi ??

Kwann baada ya mgogoro wao akataka auze nyumba??

Kwakuwa anaumwa alitaka auze ampeleke mamake hizo hela maake ndiyo godfather wake sio afu akifa Jane na watoto wanyanyasike sio ??

Kwann aue kisa nyumba kama hakua na tamaa na ubinafsi alishindwa hata kumshirkisha godfather wake huyo aliempa nauli sjui mafuta ??

Kwann aitwe ustawi wa jamii na police haendii ??

Kapeace cocastic
 
Selfish man, mama boy, na habari ya ushoga inaleta mashiko
 
Maswali ni mengi mno tunayo ikiwa Jane alichofanya sio halali maake talaka haitolewi pasi wawili kuridhiana na ni mahakamani,

Je jamaa alishindwa nn kuomba msaada wa kisheria maake yeye ndo baba na mwanaume au kwamba yeye ndiyo wa kwanza kukutwa na hasira?? Huyo kutwa kukaa na kina mama na kushindwa ku solve vipengele kama hivi.....
 
Mimi ni wakike lakini kuna mazingira nakuelewa kweka
Halafu kuna kitu unatakiwa ukijue, binadamu tunatofautiana namna ya Ku handle changamoto, kama hujawahi pitia changamoto yoyote ya kimahusiano huwezi elewa ila kama umepitia utamuelewa kweka then utajiombea wewe na kizazi chako ili yasikukite ya kweka Ila kama unavyosema utachukua maamuzi ya kumchinja kweka basi wewe na Kweka hamna tofauti wote nyie ni Sawa Sawa hamuwezi Ku handle changamoto

Naomba Muangalie kweka
1. Kaoa mke na ana familia for 18yrs ya Ndoa takatifu
2. Kiwanja alinunua Mwanamke ila kujenga Nyumba kajenga mwanaume (kawekeza over 350m
3. Kweka amekutwa na cancer ya utumbo, Kweka Kazi zake hazifanyi vzr kwa sasa plus maradhi mission zikasimama
4. Mke akaomba Hati mume akataka pawe na majina yote mawili mke akafanya kinyume chake (akijua kabisa mume hataki)
5. Mke akaanza Ku file talaka
Hivyo kweka asingetoka hata na tofauti kwasababu Nyumba inasomeka jina la watoto Jane akiwa msimamizi Tu
Hivyo pasingekuwa na Mali ya Ndoa

Kuna namna tuelewe kuchanganyikiwa kwa Kweka Ila tusiunge mkopo reaction
Mchakato wa talaka upoje mpaka ukamilike 🤔
 
Maswali ni mengi mno tunayo ikiwa Jane alichofanya sio halali maake talaka haitolewi pasi wawili kuridhiana na ni mahakamani,

Je jamaa alishindwa nn kuomba msaada wa kisheria maake yeye ndo baba na mwanaume au kwamba yeye ndiyo wa kwanza kukutwa na hasira?? Huyo kutwa kukaa na kina mama na kushindwa ku solve vipengele kama hivi.....
Mwanaume amefeli pakubwa sana, wapo wanaoona mwanamke alitakiwa kuandika jina mumewe kwenye hati lakini hawajui kama huyo lau alikuwa anawajibika kama baba kulea na kutunza familia yake,

Mama ndo alikuwa breadwinner wa familia ni yeye ndo alikuwa kiongozi ama kwa kudanga kukopa nk alihakikisha familia yake ina survive sasa kwa mazingira hayo ni ngumh kumkabidhi asset yoyote huyo mumewe, maana mwisho wa siku angeuza na angeanza upya kujitafuta,

Damu yake imemwagika akitetea manufaa ya watoto wake, huyu kenge mwingine atavuna alichopanda
 
Ewaaah na kwann atake kuuza nyumba?? Alikosa hela za kwenda visiwani sio 🤔

Jane kafaa kishujaa!!!!! Amen
 
Back
Top Bottom