Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Mimi ndio kwanza naanza kuifuatilia hizi habari ILA kwa ukweli kabisa, Sie tuna kesi kama hii hii inaendelea Mahakamani na ni Mwanamke anayeshutumiwa kumuua Mumewe na kuna dalili kubwa wa ushahidi kuwepo...Mwanamke huyo naye ni Mchagga wa Kibosho, anataka kuchukua mali walizoandikiwa watoto wa Mwanaume ilihali naye kapewa nyumba na kiwanja kikubwa tu (Hao watoto ni wa Mke wa kwanza)

Wallah, nakubaliana na wadau kuwa Wanawake wa kichaga wana tamaa sana katika mali ingawa yaweza kuwa si wote, ila sie tuna ushahidi wa hapa nyumbani kabisa hivi sasa
Tuliwahi kuongea humu, tunaongea na tutaongea teeena. Wanawake wa Kichagga achaneni nao kabisa, ni risk sana kuoa huko, huko kwao Moshi kuna mawili utayakuta, mwanamke awe nguvu ndani ya kuliko mwanaume au mwanaume ameshakufa kisha mwanamke yupo peke yake. Wajane na single mothers ni wengi sana huko.
 
Story nyingi - UKWELI WANAUJUA WAO NA SISI HAITUHUSU LKN TUNACHAKUJIFUNZA.
1.Watu mkikubali kufunga ndoa, msiingie mguu mmoja nje, mguu mmoja ndani
2.Umuhimu uwe kwa mwenza wako zaidi na umoja wenu.Wanawake huwa na tabia ya kujifanya watoto ndo kila kitu [Ubinafsi tu], utasikia mtoto wangu etc.Kuna cases nyingi za wanaume kutelekezwa na wamama kwenda kuishi kwa watoto
3.Kama wote wazima, mali ziandikwe walau kwa majina yenu yote, kama hamuaminiani, lkn mko wazima mmoja anajifanya anawapenda zaidi watoto, et majina yaende kwa watoto ni upumbavu na ujinga: Labda mkubaliane nyote, na isiwe the main house, kuweni na vitu vyenu kwanza then tafuteni vya watoto wekeni majina yenu [Lkn matrimonial house unalazimisha kuweka watoto, hivi wakivuta bangi, wakawauza uzeeni itakuaje, hivi kama mtu ndo Kweka uone nyumba yenu ya ndoa mama anataka kuandika mtoto utakubali, si ujiandae kufurushwa]
4.Kusaidiana isiwe sababu ya kumnyanyapilia mtu.Wanaume kibao wamefanikiwa kwenye maisha sababu ya kusaidiwa na wake zao, directly or.indirectly,kimawazo, kihisia, amani, connection, materially au kwa vitu kama hivyo [So hata huyo dada hakua special sana]
5.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe.Unaacha watoto wako na mfanyakazi unaenda kuishi na ndugu [ujinga], unaweka amani kwenye mali na vitu mpaka huoni future ya familia yako [ujinga], huyo jamaa tumeambiwa siku zake zinahesabika [cancer], kama alikua hampendi si angekua mnafiki tu, ajasubiri matural cause then akendelea na matamanio yake mengine[kama alikua na moango wa kando n.k].
6.Mshahara wa dhambi ni mauti[Dhambi za utengano, dhambi za tamaa ya mali, dhambi za ubinafsi, uchoyo n..k]HAYA SASA WAMEUWANA WATOTO WATAPITIA CHA MOTO, NA HISTORIA MBOVU SANA YA MAISHA YA NDOA.
MARRIAGE IS NOT FOR WEAK, NI VITA NA MAPAMBANO
 
Kuna majitu humu ni majinga.. sikupata kufikiria hata humu JF kuna mabumunda kiasi hiki... majitu yanatetea ujinga sijui ni stress za maisha ama nini...

Huyo ch0k0 aitwae Kweka kwanini amuue huyo dada, kwanini utoe bastola una shoot mtu kikatili kichwani? hao ndio aina ya watu kama wale polisi walioua 29 Oct, ni aina ya watu ambao ni wa hovyo... kutoa uhai wa mtu kwao si kitu..

Huyo dada hajafanya kosa lolote kustahili kuuawa kama jambazi ama muuaji... kisa nyumba? hivi nyumba ni kitu cha kukufanya utoe uhai wa mtu?

Katika kitu sipendi ni uonevu, na naapa huyo dada angekuwa ndugu yangu, huyo muuaji ningemchinja kama kuku nipelekwe jela, nisinge hangaika kum shoot, ningechinja kama kuku, Ana bahati huyo mshenzi alijipeleka polisi maana anafahamu nini kingempata.... huyo mbwa angeji shoot na yeye, unaua mtu halafu unakimbiza korodani zako polisi... yeye si kidume , yeye ana hasira sana, basi angeji shoot..... mbuzi kabisa...
Hata mimi nilivyosimuliwa story nilisema hivi hivi kitendo cha kumuua mkewe akakimbilia polisi kujisalimisha, alipanga kumuua hapo kabla, kwanini asingejipiga risasi na yeye bastola si alikuwa nayo,, na kama alikuwa amechsnganyikiwa kwanini hakummaliza na house aliyekutana nae mlangoni, na je boda aliyempeleka polisi!!!! Na fun enough akaenda kituo ambacho kuna washkaji zake kwaninj asingeenda mabwepande akakimbilia kawe,, alijua akikaa pale raia walikuwa wanammaliza maana majirani wanamuelewa mwanamke kuliko yeye ambae muda wake mwingi alikuwa kwa mama yake moshi,,

Kulikuwa na mvutano wa upande upi uzike, Mr akawa anakigugumizi kutetea upande wa mwanaume nilimwambia kabisa mi ukiniua usinizike acha nizikwe hata na serikali ila sio wewe!!!

Wanaume wa sasa kichefuchefu sana akili fupi kama mboo zenu
 
Naomba nijibu swali la pili kwa sababu swali namba moja linawahusu wanaohalalisha mauaji ya Jane(Mimi sio mmojawapo)
2. Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!.

Mungu anapopuuzwa vitu kama mauaji,ukatili,ubinafsi n.k ni obvious kutokea!.
Suluhisho ni watu kumpokea Kristo Yesu maisha mwao ili wafinyangwe upya nia na dhamiri zao!
YOHANA 15
3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
Don't stress yourself. Mtu akiwa hajampokea Kristo Yesu moyoni mwake usibweteke nae kwa sababu mzizi unaoitwa ubinafsi unakuwa haujang'olewa nafsini mwake hivyo deep down anaishi huku akijihesabu kwamba yeye ni bora kuliko wengine.

Kwa kifupi kuishi na mtu ambaye nafsi yake haijakombolewa na Kristo Yesu jiandae kufanyiwa lolote wakati wowote!. Usijipe matumaini kwenye hamna!.

Ndiyo maana siku zote huwa nasema Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu!
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Mwenye masikio na asikie!
 
Wanaume wa sasa kichefuchefu sana akili fupi kama mboo zenu
Najua hili limetoka moyoni, ndani kabisa 😂😂

Sabrina Carpenter Lol GIF by First We Feast.gif
 
Unaua mke aliekuzalia watoto wazuri kuna akili zingine si za kibanadamu bali ni giza ilifanya kazi,wanaume tunasofika kwa kuwa na maamuzi sahihi ila haya hayakua maamuzi yakiume kabisa,huwezi ukaua mke kisa mali sioni ni maamuzi yaliyonyoka
 
Haki gani na ni muuaji? tena ambaye tayari ana kesi polisi ya kumtishia maisha huyo mkewe ambaye amemuua?
Acha kupotosha sisi tukikuwepo kituoni na hakuwahi kuwa na jarada lolote la kesi kumhusu yeye na mke wako Wala kuwa na mgogoro uliowahi kufika polisi. Wewe Binti acha kabisa kupotosha humu JF nenda kapotoshe Facebook huko wapo mazuzu wa kuwachota🤮🤮
 
We unamjua sana Jane kuliko dada yake?
Dada yake alisema nini ambacho hapa kwenye uzi hakipo?
Ukimsikiliza dada yake Jane wa tumbo Moja kaongea kwa busara sana lawama zimedondokea kwa Jane kumbe kesi sio ya leo ni ya muda na alishauriwa na alikua kinacho enda kitokea
Wewe umesikiliza video gani? hebu tazama vizuri hii video nzima, na ndugu wa Kweka wameongea humo pia.

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?si=qK5bX9COX4TWTuvE
Una uhakika? Mbona umekazia na una eleweshwa unaleta ujuaji, dada Jane kadai janea alichukua mkopo benki bila ruhusa ya mume alipo shindwa kirejesha akafatwa mume, upo hapo
Unaweza kuchuka mkopo bila ya kuwa na shughuli ya kuingiza kipato?

Dada mesema pesa ya mkopo imetumika kujenga fensi ya nyumba na kulipa ada za watoto, inaonekana tayari mambo ya uchumi hayakua vizuri.

Yani baba watoto ameshindwa majukumu yake, mama katafuta namna ya kufanya na bado mwanaume amemuwekea kinyongo.

Hebu mjitafakari na nyinyi, si kila kitu ni cha kutetea, mwingine ni ujinga tu.
 
Kuna majitu humu ni majinga.. sikupata kufikiria hata humu JF kuna mabumunda kiasi hiki... majitu yanatetea ujinga sijui ni stress za maisha ama nini...

Huyo ch0k0 aitwae Kweka kwanini amuue huyo dada, kwanini utoe bastola una shoot mtu kikatili kichwani? hao ndio aina ya watu kama wale polisi walioua 29 Oct, ni aina ya watu ambao ni wa hovyo... kutoa uhai wa mtu kwao si kitu..

Huyo dada hajafanya kosa lolote kustahili kuuawa kama jambazi ama muuaji... kisa nyumba? hivi nyumba ni kitu cha kukufanya utoe uhai wa mtu?

Katika kitu sipendi ni uonevu, na naapa huyo dada angekuwa ndugu yangu, huyo muuaji ningemchinja kama kuku nipelekwe jela, nisinge hangaika kum shoot, ningechinja kama kuku, Ana bahati huyo mshenzi alijipeleka polisi maana anafahamu nini kingempata.... huyo mbwa angeji shoot na yeye, unaua mtu halafu unakimbiza korodani zako polisi... yeye si kidume , yeye ana hasira sana, basi angeji shoot..... mbuzi kabisa...
Mimi ni wakike lakini kuna mazingira nakuelewa kweka
Halafu kuna kitu unatakiwa ukijue, binadamu tunatofautiana namna ya Ku handle changamoto, kama hujawahi pitia changamoto yoyote ya kimahusiano huwezi elewa ila kama umepitia utamuelewa kweka then utajiombea wewe na kizazi chako ili yasikukite ya kweka Ila kama unavyosema utachukua maamuzi ya kumchinja kweka basi wewe na Kweka hamna tofauti wote nyie ni Sawa Sawa hamuwezi Ku handle changamoto

Naomba Muangalie kweka
1. Kaoa mke na ana familia for 18yrs ya Ndoa takatifu
2. Kiwanja alinunua Mwanamke ila kujenga Nyumba kajenga mwanaume (kawekeza over 350m
3. Kweka amekutwa na cancer ya utumbo, Kweka Kazi zake hazifanyi vzr kwa sasa plus maradhi mission zikasimama
4. Mke akaomba Hati mume akataka pawe na majina yote mawili mke akafanya kinyume chake (akijua kabisa mume hataki)
5. Mke akaanza Ku file talaka
Hivyo kweka asingetoka hata na tofali kwasababu Nyumba inasomeka jina la watoto Jane akiwa msimamizi Tu
Hivyo pasingekuwa na Mali ya Ndoa

Kuna namna tuelewe kuchanganyikiwa kwa Kweka Ila tusiunge mkono reaction
 
Dada yake alisema nini ambacho hapa kwenye uzi hakipo?

Wewe umesikiliza video gani? hebu tazama vizuri hii video nzima, na ndugu wa Kweka wameongea humo pia.

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?si=qK5bX9COX4TWTuvE

Unaweza kuchuka mkopo bila ya kuwa na shughuli ya kuingiza kipato?

Dada mesema pesa ya mkopo imetumika kujenga fensi ya nyumba na kulipa ada za watoto, inaonekana tayari mambo ya uchumi hayakua vizuri.

Yani baba watoto ameshindwa majukumu yake, mama katafuta namna ya kufanya na bado mwanaume amemuwekea kinyongo.

Hebu mjitafakari na nyinyi, si kila kitu ni cha kutetea, mwingine ni ujinga tu.

Nasikia hua unasema umesoma? Una elimu? Nakuona kama mwanamke mwenye maono? Unafahamu laws, ya pesa ya mkopo? Tangu limi pesa ya mkopo ulioweka nyumba ukatumia kujenga fensi ya nyumba na kulipia ada? Non productive issues, kama wewe msomi unfikra za hivi basi tuna safari ndefu, nilijua ni un educated ndio huchukua pesa ya mkopo na kwenda kununua fridge, carpet,tv vitenge mara hiki kumbe hadi na wasomi mna akili za hivi? Tanzania itaokolewa nani sasa?
 
Back
Top Bottom