ukiondoa ushabiki kuna mambo kumi mimi nayaona yako wazi.
moja ,kiwanja cha mwanamke ila ujenzi mwanaume kashiriki pakubwa
mbili,mkopo wa fensi marehem alitaka kuutumia km mkopo wa kujengea nyumba ili kuhitimisha nia yake wakati wa taraka ya kuwa kiwanja changu na ujenzi ni mimi nimeghalamikia.
tatu,hakuna kosa duniani hata uhaini ambalo linatoa ruhusa ya kuua mtu.
nne,ni dharau fedheha kuandika jina la mtoto kwenye mali pasipo kumshirikisha mwenza na kuamua kwa pamoja.
tano,busara ilitakiwa kutumika ni kuandika majina ya wazazi wote au wazazi na watoto,kwa kua baada ya taraka kila mmoja wao a ngepata mwenza wake.
sita,familia ya mke inaujua ugomvi kwa muda kuliko familia ya mume na ilishiriki kutopata busara ya kualika pande ya pili yaani upande wa kiumeni ili kutatua kwa kua km lengo lingekuwa zuri basi wangeweza iweka mali kwenye trustee ili isiguswe na yeyote.
saba ,inaonyesha wote walikua wa na uwezo wa kifedha eidha kupitai elimu au biashara kutokana na inavyoonekana. mf kumiliki bastola,kwenda shambani kuvuna,kuwa kwenye makampuni ya masoko kwa mwanadada nk.
nane,harufu ya usaliti inajidhilisha muuwaji alijua hana option nyingine kwa kua hakuwa na nyaraka zaidi ya cheti cha ndoa pekee na wakti huo huo ndoa ilikua hatarini na mke alishajua eidha jamaa sasa hana kitu na nyuma ya taraka kuna jamaa anamkula huyo mama kumpa kiburi na ujasiri .
tisa,ndugu wa mwnamke walikuwa ndio watu pekee wenye uwezo kuinusuru nyumba na ndoa,kwa kua mambo mengi alikua akifanya akiwashirikisha km kukopa nk ni dalili ya fedheha kumshirikisha ndugu na kumuacha mwenzi wako.ndugu wange mpunguza spidi jeni,mwamba asingefikia hapa na hati isingekuwa vile na mauaji yasingetokea na taraka ingetoka kwa amani na mali ingekuwa mikononi slama kwa watoto na koo zote mbili zingesimamia.kwa sababu walipoona kuwa
kumi,hakuna mwanamke anaefanya jambo kwa siku moja,mchakato wa kumuacha mwamba ulianza mapema (km nadhalia hii ni kweli kuwa mwambaalikua na pesa then akaanza kuyumba,mjengo kukamilika na dada kupata mtu mwingine na kansa kugundulika.)