ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,878
- 77,117
Hiyo ndoa ilikua ishakufa.Kwani hati ingetoka kwa majina ya mke na mume kungekuwa ba shida gani? Haki ya watoto ingepotea?
Jina la kweka lingekuwepo kwenye hati ingekua sio sahihi, vipi akioa na kupata watoto wengine?
Jane alikua analinda urithi wa watoto wake.!