Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Mimi ni wakike lakini kuna mazingira nakuelewa kweka
Halafu kuna kitu unatakiwa ukijue, binadamu tunatofautiana namna ya Ku handle changamoto, kama hujawahi pitia changamoto yoyote ya kimahusiano huwezi elewa ila kama umepitia utamuelewa kweka then utajiombea wewe na kizazi chako ili yasikukite ya kweka Ila kama unavyosema utachukua maamuzi ya kumchinja kweka basi wewe na Kweka hamna tofauti wote nyie ni Sawa Sawa hamuwezi Ku handle changamoto

Naomba Muangalie kweka
1. Kaoa mke na ana familia for 18yrs ya Ndoa takatifu
2. Kiwanja alinunua Mwanamke ila kujenga Nyumba kajenga mwanaume (kawekeza over 350m
3. Kweka amekutwa na cancer ya utumbo, Kweka Kazi zake hazifanyi vzr kwa sasa plus maradhi mission zikasimama
4. Mke akaomba Hati mume akataka pawe na majina yote mawili mke akafanya kinyume chake (akijua kabisa mume hataki)
5. Mke akaanza Ku file talaka
Hivyo kweka asingetoka hata na tofauti kwasababu Nyumba inasomeka jina la watoto Jane akiwa msimamizi Tu
Hivyo pasingekuwa na Mali ya Ndoa

Kuna namna tuelewe kuchanganyikiwa kwa Kweka Ila tusiunge mkopo reaction
Mungu akupe maisha marefu dada angu, wewe ni mkweli, huyu Binti wa zamani, na mashaka nae ni mbinafsi mumewe akae nae makini, tu, mtu mwenye utu huwezi egemea UPANDE kwenye kesi ya KWEKA wote wanamakosa
 
Unaua mke aliekuzalia watoto wazuri kuna akili zingine si za kibanadamu bali ni giza ilifanya kazi,wanaume tunasofika kwa kuwa na maamuzi sahihi ila haya hayakua maamuzi yakiume kabisa,huwezi ukaua mke kisa mali sioni ni maamuzi yaliyonyoka
Wewe bado huna maisha huwezi elewa au we ulipewa urithi, hapa tunaonhea fighters from zero to hero, mi nimetembeza vitumbua Arusha nimepigwa mvua leo hii niambiwe jina langu lisiwepo liwepo la watoto na mke kama msimammizi? Kwanini nae asiniweke mimi kama msimammizi? Tulia kaka hii ngoma huwezi ijua kaka, we fight hard mnatuona usoni tuna furaha kumbe moyoni tuna hudhuni, tunapitia mengi kwenye utafutaji bado nawe unani chezea, basi tafuta refa wa kukubeba
 
Hata mimi nilivyosimuliwa story nilisema hivi hivi kitendo cha kumuua mkewe akakimbilia polisi kujisalimisha, alipanga kumuua hapo kabla, kwanini asingejipiga risasi na yeye bastola si alikuwa nayo,, na kama alikuwa amechsnganyikiwa kwanini hakummaliza na house aliyekutana nae mlangoni, na je boda aliyempeleka polisi!!!! Na fun enough akaenda kituo ambacho kuna washkaji zake kwaninj asingeenda mabwepande akakimbilia kawe,, alijua akikaa pale raia walikuwa wanammaliza maana majirani wanamuelewa mwanamke kuliko yeye ambae muda wake mwingi alikuwa kwa mama yake moshi,,

Kulikuwa na mvutano wa upande upi uzike, Mr akawa anakigugumizi kutetea upande wa mwanaume nilimwambia kabisa mi ukiniua usinizike acha nizikwe hata na serikali ila sio wewe!!!

Wanaume wa sasa kichefuchefu sana akili fupi kama mboo zenu
Daaah Jamaa huyu, uwezo wake Mdogo sana. Lakini hapo mwisho umetutukana
 
Ushauri wako haukubaliki bro, watoto wasome waje wapambane ili wamiliki vya kwao.
Kwani jukumu la watoto hapa duniani kuja kurithi tu?
Kama ni kurithi wasubiri kifo changu.
Hayo mawazo yamechangia Jamii nyingi za sisi Weusi kushindwa kuvunja mnyororo wa Umasikini

Umeona "Mo", amekutana na mali za Babu yake na yupo hapo kuziendeleza. Na juzi ameanza kumwingiza kwenye biashara mwanae Abbas ili ajifunze kukuza na kuendesha mali za familia

Ni ushauri wangu, kama una mali (assets) hakikisha unaziwekea mpango wa kuendeleza na familia yako (watoto wako) ili zisaidie kuwapatia mitaji ya biashara ili wajukuu zako kwa watoto wazaliwe na kukuta hiyo chain ya biashara

Ukiwa na mentality hiyo ya kwamba watoto waje watafute zao, mbona watoto wa marehemu Mzee Mengi wanaendeleza biashara na mali za Baba yao

Tujifunze kubadirika, zaa watoto 4/3 na Mama mmoja, kisha wakuze kwa umoja na uwachumie mali ili wao wasije kutumia msuli mkubwa kujitafutia, wewe baba yao unakuwa umewaanzishia njia
 
Nasikia hua unasema umesoma? Una elimu? Nakuona kama mwanamke mwenye maono? Unafahamu laws, ya pesa ya mkopo?

Tangu limi pesa ya mkopo ulioweka nyumba ukatumia kujenga fensi ya nyumba na kulipia ada? Non productive issues, kama wewe msomi unfikra za hivi basi tuna safari ndefu, nilijua ni un educated ndio huchukua pesa ya mkopo na kwenda kununua fridge, carpet,tv vitenge mara hiki kumbe hadi na wasomi mna akili za hivi? Tanzania itaokolewa nani sasa?
  • Kwanza, kwanini unafanya maamuzi ya huyu dada kuwa maamuzi yangu?

  • Point zako zote za awali umeona hazipo kwenye video za dada wa marehemu na ndugu wa Kweka. Mjifunze kusikiliza taarifa kamili na si kudandia dandia tu maneno ya mitandaoni.

  • Mtu anachukua mkopo kwa sababu zake, kama mama najua wanawake wengi tu ambao wamechukua mikopo kusomesha watoto wao. Naona hilo la kusomesha umelipuuza, umeenda na la kujenga fensi tu.

    Ila labda hata hiyo fensi amejenga kwa ajii ya usalama wa watoto au aliona kuna umuhimu wa fensi kabla hawajahamia - mimi sababu zake za kuchukua mkopo sizijui, ila matumizi ya mkopo ni maamuzi binafsi.
 
Dada yake alisema nini ambacho hapa kwenye uzi hakipo?

Wewe umesikiliza video gani? hebu tazama vizuri hii video nzima, na ndugu wa Kweka wameongea humo pia.

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?si=qK5bX9COX4TWTuvE

Unaweza kuchuka mkopo bila ya kuwa na shughuli ya kuingiza kipato?

Dada mesema pesa ya mkopo imetumika kujenga fensi ya nyumba na kulipa ada za watoto, inaonekana tayari mambo ya uchumi hayakua vizuri.

Yani baba watoto ameshindwa majukumu yake, mama katafuta namna ya kufanya na bado mwanaume amemuwekea kinyongo.

Hebu mjitafakari na nyinyi, si kila kitu ni cha kutetea, mwingine ni ujinga tu.

Nyumba ina madeni mengi, mwanaume alipofukuzwa kazi alifulia, haikutosha akaenda kumuharibia kazi wife, lakini kama unavyojua chaga girl ni wapambanaji akakomaa ndo hiyo kukopa huku kurejesha kule, na alivyokuwa mrembo.....hayo mengine anajua marehemu
 
  • Kwanza, kwanini unafanya maamuzi ya huyu dada kuwa maamuzi yangu?

  • Point zako zote za awali umeona hazipo kwenye video za dada wa marehemu na ndugu wa Kweka. Mjifunze kusikiliza taarifa kamili na si kudandia dandia tu maneno ya mitandaoni.

  • Mtu anachukua mkopo kwa sababu zake, kama mama najua wanawake wengi tu ambao wamechukua mikopo kusomesha watoto wao. Naona hilo la kusomesha umelipuuza, umeenda tu na la kujenga fensi tu.

    Ila labda hata hiyo fensi amejenga kwa ajii ya usalama wa watoto au aliona kuna umuhimu wa fensi kabla hawajahamia - mimi sababu zake za kuchukua mkopo sizijui, ila matumizi ya mkopo ni maamuzi binafsi.
Sijaona cha maana ulicho andika mkuu, kaa chini fikiria upya njoo tena, nataka jibu Moja la kueleweka unanirudisha tena kule nilikotoka
 
Hiyo bodi nayo inaweza kuingiliwa na baadhi ya decision makers mambo yakaharibika tu, kama unavyosema sisi ngozi nyeusi tuna changamoto kubwa sana. Kama tu watoto uliowazaa ukawapa assets wanaweza kukugeuka, kukufilisi na hata kukuuwa kwa sababu ya mali, usitegemee wa pembeni awe na huruma na mali zako.
Umefanya niingie kwenye website ya IPP media kujionea bodi ya wakurugenzi wa kampuni.

Nimeona kuna Wahindi na watoto wa marehemu.

Ukiwa na bodi imara, sio rahisi kuingilika, unajua lile swala la KLynn walivyofanikiwa kulizima?

Wanajua kampuni ikiingilika, na wao hawatakiwa Wakurugenzi tena na hakutakuwa na mishahara wala bonuses

Kwahiyo it was do or die kwaajili ya kampuni

Ushauri wangu, ni vyema kuweka kwenye mfumo huo, mali zinaweza kubaki salama kuliko kuacha kwenye mtindo ambao watoto au mama yao akishapata kibenten cha kumsugua akashawishika kuuza mali na kubadirisha umiliki

Ushauri kwa Wanaume wenzangu, tusifanye kosa la kuzaa kila mtoto na Mama yake.
Kama unachepuka, hakikisha binti hakushikii mimba.

Lakini hakikisha mama wa watoto wako, hawi na tamaa ya Mali/vitu

Kwenye ndoa kusiwe na kauli ya Changu, semeni Chetu

Sio gari langu, semeni gari letu
 
Ushauri mzuri sana mzee mwenzangu, uzee ni dawa!💪
 
Umezungumza kama mtu mzima, mwenye busara na knowledge.
Nimependa 🔥🔥
 
Sababu pekee tuliyokubaliana (mimi na mke wangu wa ndoa) kuuana ni kufumaniana( tukingonoka) kwenye nyumba zetu tunazoishi kama mume na mke (Dom,Arusha,Kilimanjaro,Dar na Mtwara).

Sababu pekee ninayoona inafaa kuhalalisha kuua ni hiyo ya kumfumania mume/mke akingonoka kwenye nyumba yenu.

Nnje ya hapo ni ujinga, upumbavu, uzwazwa na mihemko ya tatizo la afya ya akili.

Kumbukumbu la Torati 22:22- 27.
Yohana 8:3-11.
Na nyie mmekubaliana kuuana endapo mtafumaniana ebhanaeeee nyie kiboko
 
Hakubadili alitengeneza (kwa sababu yeye ndiye alikua mmiliki wa kiwanja) na akaweka majina ya watoto badala ya jina lake na la mumewe.
Kwenye ardhi umiliki unabadilishwa, hakuna kutengenezwa. Unabadilika kwa kununua, kugawa zawadi au kwa takwa la kisheria (mirathi, ndoa, utekelezaji wa hukunj nk). Kwa hiyo Jane alibadilisha umiliki kutoka kwake kwenda kwa watoto. Akiwa msimamizi (guardian) anaweza kufanya chochote kile, ikiwa ni pamoja na kuuza, kujipa umiliki yeye mwenyewe kwa zawadi, kumpa bibi mzaa mama wa watoto nk, ill motive, kwa nini Kweka asiwe pia msimamizi wa watoto hao ili maamuzi yafanywe na Kweka na Jane?

Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?
Hakuna jibu moja kwenye swali hili kwa kuwa itategemea na sheria inayotumika kuamua juu ya hilo. Kwenye sheria ya ardhi, mmiliki ni mwenye kiwanja, kwenye sheria ya ndoa umiliki unapimwa kwa mchango wa mwanadoa kwenye upatikanaji wa mali. Kwa mujibu wa andiko lako, kama Jane alinunua Kiwanja tu na Kweka akajenga - mwenye mchango mkubwa angekuwa ni Kweka, hivyo maamuzi yoyote juu ya mali hiyo muathirika mkubwa angekua ni yeye.
 
Na nyie mmekubaliana kuuana endapo mtafumaniana ebhanaeeee nyie kiboko
Canadian Lol GIF.gif

Vipi wewe na mwenzako mmekubaliana vipi?
 
Nyumba ni Mali ya familia wote make,mume watoto coz vyote vilifanyika kwaajili ya familia na juhudi zote zilikua za pamoja!!

Kwanini aweke watoto pekee halafu yeye msimamizi kwani hao watoto alijipa mimba mwenyewe!!;kwanini wanawake Huwa mnadhani watoto ni WA kwenu peke yenu kina baba hatukushiriki kuwazaa!!?

Jane angekua na nia njema angeandika hati yenye majina ya wanafamilia wote kama Mali ya pamoja ya wote na sio kuwapa watoto na eye msimamizi kwani baba hakushiriki kujenga!!?;

Wote wana makosa muuaji na alieuawa wote wana makosa!!!

Acheni ubinafsi kina mama
 
Back
Top Bottom