Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Mambo ni mengi ila huyo mwanamke
1.Mbinafsi ( selfishness)
2.Tamaa(Desire)
3.Mhemko ( Emotions)
4.Asiekubali kushauliwa(Defensive)
Apumzike kwa amani
 
Hiyo ndoa ilikua ishakufa.
Jina la kweka lingekuwepo kwenye hati ingekua sio sahihi, vipi akioa na kupata watoto wengine?

Jane alikua analinda urithi wa watoto wake.!
Urithi hauji isipokuwa kwa kifo. Kweka na Jane hawajafa, Sasa Jane analinda urithi wa watoto wake kutoka kwa nani? Kwa kutoweka jina la Kweka, maana yake tayari amemfanya Kweka kutokua na mali.. what about Jane, yeye angeolewa au hata kuzaa watoto wengine nao pia si wangerithi hiyo mali kwenye kifo chake? Alicanya kosa kubwa sana la kiufundi
 
Mbona tunaambiwa kiwanja walipewq kama zawadi ya Harusi wakati huo ?

pamoja na yote , jamaa kachafua familia snaa

Mfano sisi tulishakataa mwanaume home aliekuja kuposa mtoto yetu. Kwenye vetting tuliyofanya tulibaini baba ya huyo mwanaume alimuua mama yake mzazi kwa kumkata na mapanga…. Ni machame huko huko ukoo wa Mushi
Tulimkataa huyo jamaa

Kuna familia hao watoto wakiingia watakataliwa sana hasa familia zinazofanya vetting vema

History repeats … tunaamini hivo

Ukirudi nyuma kwenye ukoo wa kweka back then huenda sio tukio la kwanza kwao

That is why kuoa muhindi ni zaidi ya vetting za kuwa TISS kuepukq ujinga kama huu

THAT IS why hukuti huu ujinga kwa familia za wahindi

Vetting ni muhimu sana wazee - kuna familia nyingine sio kabisa kuruhusu kijana wako kuingia
Kwamba hukuti ujinga kwenye familia za Kihindi?
Hakuna race ambayo imeepuka migogoro ya kifamilia. Ni kwa bahati 'mbaya' tu idadi ya Watanzania wenye asili ya Kihindi ni ndogo. Hivi karibuni tu kulikuwa na mgogoro wa Baba kumkana Mwanaye baada ya Mtoto kusema Baba ni 'chizi ili aondolewe kwenye Bodi ya Wakurugenzi. Kuna kesi ya Muhindi kumchinja Mke wake. Na zipo nyingi tu.

Labda tungesema wanaogopa kupeleka kesi zao nyingi mbaya za kifamilia kwenye media au Mahakamani kama ambavyo huwezi kuona ubaguzi miongoni mwao kwa sababu hujawahi kusikia, lakini pia inapofika suala la Ndoa na mali ni vigumu sana kusema kwa hakika kwamba 'Wahindi hawana migogoro'. Ipo sana tu
 
Sio kuwa hakuna kesi, kesi itakuwepo, ila hakutakuwa na lawama 😄
Wewe ndiye watu wanatakiwa humu JF.
Kongole kwani umebarikiwa akili na unazitumia vyema.

Niliwahi kuepuka madhira makubwa baada ya kufumwa na mke wa mtu, na ni baada ya kumrekodi mara 4 akiaapa kuwa yeye hajaolewa na wala hana mchumba.

Hizi simu zina call recorder na voice recorder, watu wanafikiri ziliwekwa kwa bahati mbaya!!???
 
Kwaio wewe huoni huyo
Mwanamke ni fala sana yaani nijenge nyumba afu utake jina kwenye hati liandikwe lako tu kwanini tusiandikwe wote
Kilichomfanya huyo mwanamke kufatilia hati ni kipi maana yake alitaka kumzunguka mumewe ajimilikishe nyumba kisa kiwanja ni chake
 
Alimkubalia mumewe alivyotaka, alitii 😎

Siwezi kujua, ila inaonekana tayari kulikuwa na mgogoro

Sijui kwanini, ila najua ndoa zinaweza kufikia ukomo na ndiyo maana kuna taratibu za kisheria za talaka.

Kwa sababu mumewe tayari alishamtishia kumuua na akaenda kuripoti polisi.
Mbali na kuhofia maisha yake, nahisi aliondoka ili kuepusha shari na kutoongeza ukubwa wa tatizo.
Kwanini tena akaja kulala hapo kimyakimya?
 
Alimkubalia mumewe alivyotaka, alitii 😎

Siwezi kujua, ila inaonekana tayari kulikuwa na mgogoro

Sijui kwanini, ila najua ndoa zinaweza kufikia ukomo na ndiyo maana kuna taratibu za kisheria za talaka.

Kwa sababu mumewe tayari alishamtishia kumuua na akaenda kuripoti polisi.
Mbali na kuhofia maisha yake, nahisi aliondoka ili kuepusha shari na kutoongeza ukubwa wa tatizo.
Kama alitii mara ya kwanza ,nini kilisababisha a revoke utii wake? Baada ya kumkausha damu jamaa na kugundua anaumwa?
Kutishia kuua ni kosa la jinai,kwanini hakufungua kesi ili Kweka akamatwe na kufunguliwa mashtaka?
Kama aliondoka kwa mumwebkutokana na hofu ya kuuliwa,kwanini tena akarejea bila hatua yoyote kuchikuliwa?
 
Story nyingi - UKWELI WANAUJUA WAO NA SISI HAITUHUSU LKN TUNACHAKUJIFUNZA.
1.Watu mkikubali kufunga ndoa, msiingie mguu mmoja nje, mguu mmoja ndani
2.Umuhimu uwe kwa mwenza wako zaidi na umoja wenu.Wanawake huwa na tabia ya kujifanya watoto ndo kila kitu [Ubinafsi tu], utasikia mtoto wangu etc.Kuna cases nyingi za wanaume kutelekezwa na wamama kwenda kuishi kwa watoto
3.Kama wote wazima, mali ziandikwe walau kwa majina yenu yote, kama hamuaminiani, lkn mko wazima mmoja anajifanya anawapenda zaidi watoto, et majina yaende kwa watoto ni upumbavu na ujinga: Labda mkubaliane nyote, na isiwe the main house, kuweni na vitu vyenu kwanza then tafuteni vya watoto wekeni majina yenu [Lkn matrimonial house unalazimisha kuweka watoto, hivi wakivuta bangi, wakawauza uzeeni itakuaje, hivi kama mtu ndo Kweka uone nyumba yenu ya ndoa mama anataka kuandika mtoto utakubali, si ujiandae kufurushwa]
4.Kusaidiana isiwe sababu ya kumnyanyapilia mtu.Wanaume kibao wamefanikiwa kwenye maisha sababu ya kusaidiwa na wake zao, directly or.indirectly,kimawazo, kihisia, amani, connection, materially au kwa vitu kama hivyo [So hata huyo dada hakua special sana]
5.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe.Unaacha watoto wako na mfanyakazi unaenda kuishi na ndugu [ujinga], unaweka amani kwenye mali na vitu mpaka huoni future ya familia yako [ujinga], huyo jamaa tumeambiwa siku zake zinahesabika [cancer], kama alikua hampendi si angekua mnafiki tu, ajasubiri matural cause then akendelea na matamanio yake mengine[kama alikua na moango wa kando n.k].
6.Mshahara wa dhambi ni mauti[Dhambi za utengano, dhambi za tamaa ya mali, dhambi za ubinafsi, uchoyo n..k]HAYA SASA WAMEUWANA WATOTO WATAPITIA CHA MOTO, NA HISTORIA MBOVU SANA YA MAISHA YA NDOA.
MARRIAGE IS NOT FOR WEAK, NI VITA NA MAPAMBANO
Kuna podcast jamaa mmoja amesema kijana ukipata uhuru wa kuwa single, uhuru wa kutokuoa basi utumie vizuri.
 
Back
Top Bottom