Mwanaume amefeli pakubwa sana, wapo wanaoona mwanamke alitakiwa kuandika jina mumewe kwenye hati lakini hawajui kama huyo lau alikuwa anawajibika kama baba kulea na kutunza familia yake,
Mama ndo alikuwa breadwinner wa familia ni yeye ndo alikuwa kiongozi ama kwa kudanga kukopa nk alihakikisha familia yake ina survive sasa kwa mazingira hayo ni ngumh kumkabidhi asset yoyote huyo mumewe, maana mwisho wa siku angeuza na angeanza upya kujitafuta,
Damu yake imemwagika akitetea manufaa ya watoto wake, huyu kenge mwingine atavuna alichopanda