Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Na hapo unakuta mwanamke ndio alisota na mume, wengine wanaanza from the scratch, shida, dhiki, ushauri, kuna wanawake wanavumilia mume wakati mwengine hata ku produce mahitaji ya muhimu ndani ya nyumba anasua sua, mke anasaidia ili mume ajenge mkae pazuri, wtt waje wastirike incase mzazi mmoja ameondoka lkn matokeo yake ndio hayo mara wtt wanakuja kupata tabu kwa kudhulumiwa tena na ndugu kwenye familia.
Aseeh ni hatare sana madam, uyatima plus kudhulumiwa aseeh nilikuwa nawaonea huruma sana aseeh
 
Naamini ukweli halisi wanaujua wao wenyewe, sisi huku nje ni speculations tu.

Sasa kama mwanaume alikuwa safarini watoto wakamlilia mama yao njaa, kwanini marehemu asingetuma take away wapelekewe kama hakutakiwa kuingia ndani?

Ina maana Kweka alimkuta marehemu ndani bahati mbaya kisha akamwambia twende chumbani?

If yes, kwanini marehemu akakubali kwenda chumbani huku akijua yeye na mumewe hawana maelewano mazuri?
Watoto walimpigia mama yao simu kwamba wameishiwa chakula mama akawapelekea nyumbani. Kwasababu mumewe hakuwepo, akalala hapo nyumbani kwao, alfajiri wakati anajiandaa kuondoka, ndiyo mume akarudi akampiga risasi.

Mume alitaarifiwa na jirani kwamba Jane amerudi, akaendesha gari usiku mzima kutoka Moshi ili aje atimize jambo lake. Hii ni kwa mujibu wa msichana wa kazi aliyetoa taarifa na ndugu wa marehemu.

Imeeleewa zaidi hapa:

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?si=7IG7knmkTkikcoO1
 
Mnazunguka zunguka tu lakini ukweli ni kwamba marehemu alikuwaeTAPELI kama MATAPELI wengine....alitaka kumzunguka KWEKA.....
20250129_223343.jpg
 
Exactly, wakati huo mpo uchi ,machine imebanwa KWENYE mapaja , hata namba ya Siri unaisahau ghafra mwanamke ndo anakukumbusha
Kabisa, majuto huwa yanakuja baadaye na ukipata mtu mwenye lengo baya anaweza kutumia huo udhaifu wako wa kimwili kukumaliza.
 
Duuh, kwahiyo hizo pesa mnazotoa wakati mnatongoza ni kama mkopo, inabidi zilipwe 😳🤔🤔
Mimi alinikubali tukawa wapenzi na akaniwekea mambo anayotaka nimfanyie na kweli nikatimiza ikiwemo kumnunulia cherehani na vitu vingi tu... ila kila nikimuomba anipe uchi ananizingusha mno mara naumwa mara sijisikii baadae akaniambia yeye ana mambo mengi saivi anawaza maisha na sio mambo ya mapenzi kwahiyo kama vipi tuachane
 
Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Yani hiyo hati ya nyumba inatokaje na majina ya watoto,hao watoto ndio walijenga hiyo nyumba??.
Yani mwanaume ahangaike kujenga nyumba kwa jasho wagombane halafu mwanamke akabadilishe hati aandike watoto halafu yeye mwanamke ndio awe msimamizi-hizi ni akili au matope??
 
Back
Top Bottom