Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi đź’”

Mara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la

Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
Wewe acha, acha kabisa. Akiwa anatafuta kuolewa, ana behave kama Bikra Maria wa Lurdi! Ukweli utaupata kwa majirani walioishi naye mpaka ukubwani. Hao wana ukweli usio na mashaka.

Ndiyo maana kwetu huwa kuna .kuchumbia. Unatafuta ukweli toka kwa majirani. Unamtuma mtu anakwenda kujifanya kutafuta vibarua huko kwa msichana kumbe anachunguza taarifa za tabia ya huyo binti. Likewise kwa mvulana, ingawa mara nyingi haiko hivyo maana ni rahisi kupata taarifa za mvulana kuliko msichana
 
Tufanye yote ni sahihi kuwa Jane ana tamaa na mlafi wa mali

Ila kama mwanaume si hitimisho kumuua mwanamke

Kivipi aani tunashangilia mauaji alichokifanya kweka kuna utofauti gani na walichokifanya ccm kuua wananchi kwaajili ya kujilindia mali

Uwanaume haupimwi kwa misuli tu pia kudhibiti hisia zako demu,mke hata malaya akizingua piga chini tafuta njia ya kujilinda wewe na mali zako ila sio kumuuaaa
Sasa wewe mbona umejipa jina la harmful....kweli ulikosa jina zuri. Basi mawazo hasi kama hayo yanakwenda mpaka kwenye vitendo .
 
Kuna majitu humu ni majinga.. sikupata kufikiria hata humu JF kuna mabumunda kiasi hiki... majitu yanatetea ujinga sijui ni stress za maisha ama nini...

Huyo ch0k0 aitwae Kweka kwanini amuue huyo dada, kwanini utoe bastola una shoot mtu kikatili kichwani? hao ndio aina ya watu kama wale polisi walioua 29 Oct, ni aina ya watu ambao ni wa hovyo... kutoa uhai wa mtu kwao si kitu..

Huyo dada hajafanya kosa lolote kustahili kuuawa kama jambazi ama muuaji... kisa nyumba? hivi nyumba ni kitu cha kukufanya utoe uhai wa mtu?

Katika kitu sipendi ni uonevu, na naapa huyo dada angekuwa ndugu yangu, huyo muuaji ningemchinja kama kuku nipelekwe jela, nisinge hangaika kum shoot, ningechinja kama kuku, Ana bahati huyo mshenzi alijipeleka polisi maana anafahamu nini kingempata.... huyo mbwa angeji shoot na yeye, unaua mtu halafu unakimbiza korodani zako polisi... yeye si kidume , yeye ana hasira sana, basi angeji shoot..... mbuzi kabisa...
Unalaani mauaji, at the same time ungemuua muuaji? Tuliza akili ukitaka kutoa hoja, ona ulivyopanic.
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane đź’”

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Leo hakuna chombezo la kuliwa mbususu au kupondwa pondwa kwa kinu?
 
Mambo mengine bwana unasema mume kajenga kwa gharama zake kwanini usimshirikishe? Na kama hataki we so msomi na una akili za maisha umri una ruhusu Kwa nini usi mkalishe chini mhawane mbao Kila mtu kwake we unataka vyote
Watu wanauma uma tu maneno lakini kiukweli marehemu alikuwaeTAPELI kama MATAPELI wengine tu
 
Umeita watu machoko kwa kusimama na kweka, na umefika mbali na kuwafananisha na manduli wa Oct 29

Kisha na wewe unapania kumyoosha Kweka kwa Mtindo uleule.!?

Sasa tufauti yake ni nini.? Nikajua ungetaka akamatwe kisha ahukumiwe kama Lisu
Huyo bwana mdogo pengine ni kaka wa marehemu
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane đź’”

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Na huo ni mtazamo na maoni yako binafsi...KWELI.
 
Kapeace aliliongea hili kwa undani sana, alizipata taarifa kwa moja ya ndugu wa mwanamke..!!

Mlio kwenye taasisi ya ndoa mjitafakari sana, ndoa ikiisha halafu mmoja akagoma kumove on ndo shida zinapoanzia kama hizi hutokea za kuuana..!!
Hadithi ya hao watu ni ndefu na nyingi sana Lamomy niliandika kwa ufupi mno,

Mali, visasi, malezi ya mwanaume nayo yanatia shaka, historia pia inaonyesha baba yake aliua mtu huko moshi (hapa sikuuliza sana)
Mbaya kabisa huko kwao moshi ni majirani wa hatua kama 30, walikua pamoja walicheza pamoja wakakubaliana kuoana wakazaa na wameharibiana maisha wao na kizazi chao,
 
Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Kosa namba moja hilo hapo, kwanini hati itoke kwa namna hiyo maana yake Baba hana chake hapo
 
Hadithi ya hao watu ni ndefu na nyingi sana Lamomy niliandika kwa ufupi mno,

Mali, visasi, malezi ya mwanaume nayo yanatia shaka, historia pia inaonyesha baba yake aliua mtu huko moshi (hapa sikuuliza sana)
Mbaya kabisa huko kwao moshi ni majirani wa hatua kama 30, walikua pamoja walicheza pamoja wakakubaliana kuoana wakazaa na wameharibiana maisha wao na kizazi chao,
Nitag uliposimulia kwanza na mimi nisome nijifunze kitu
 
Yaani ni mbaya sana,, baba kahalibu future ya watoto
Baba hajaharibu future ya watoto unajua nini kwanini huyo mwanamke asiangeandika majina ya watoto then kwenye usimamizi akaandika majina yote mawili kwanini mwanaume alitengwa na kuwekwa pembeni? Hivi hamjiulizi hilo swali? Kwanini yeye aandike majina ya watoto na jina lake tu na wakati nyumba ni ya familia nzima Baba, Mama na Watoto km kweli alikua na nia njema kwanini aliacha kuandika jina la Baba wa Watoto au huyo Lameck watoto sio wa kwake? Mkipigwa za kichwa mnakuja mbio mbio
 
Hadithi ya hao watu ni ndefu na nyingi sana Lamomy niliandika kwa ufupi mno,

Mali, visasi, malezi ya mwanaume nayo yanatia shaka, historia pia inaonyesha baba yake aliua mtu huko moshi (hapa sikuuliza sana)
Mbaya kabisa huko kwao moshi ni majirani wa hatua kama 30, walikua pamoja walicheza pamoja wakakubaliana kuoana wakazaa na wameharibiana maisha wao na kizazi chao,
Baba yake aliwahi kuua mtu?

Hebu fungua uzi uyaelezee kwa kina, kuna kitu hakiko sawa kwenye huo ukoo wa mwanaume..!!

Itabidi turudi kama zamani, kabla ya kuolewa na kuoa kuna umuhimu wa kuchunguza familia za waoaji. Kimasihara unajibebea bomu kama huyo bwana Kweka….!!
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane đź’”

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Unapingana na maneno ya ndugu wa karibu (Dada yake)
Hivyo kwa sasa wewe ni ndugu wa familia zaidi ya wanafamilia.
 
Kosa la mwamba ni kujenga nyumba kwenye kiwanja Cha mwanamke alafu mwanamke akataka kumu exclude kwenye hati ya nyumba

Kweka akafanya aliyoyafanya

Daah!!.
 
Baba hajaharibu future ya watoto unajua nini kwanini huyo mwanamke asiangeandika majina ya watoto then kwenye usimamizi akaandika majina yote mawili kwanini mwanaume alitengwa na kuwekwa pembeni? Hivi hamjiulizi hilo swali? Kwanini yeye aandike majina ya watoto na jina lake tu na wakati nyumba ni ya familia nzima Baba, Mama na Watoto km kweli alikua na nia njema kwanini aliacha kuandika jina la Baba wa Watoto au huyo Lameck watoto sio wa kwake? Mkipigwa za kichwa mnakuja mbio mbio
Hoja hiyo wanairuka wanakimbilia mbele, kwanini talaka itoke na majina ya mama na watoto Baba akawekwa pembeni? Maana hapo ndio tatizo lilipoanzia ukianza ooooh sijui alimvumilia tu, ooh ndoa ilikuwa imeisha zamani, bila hilo swali kujibiwa bado unakuwa unaruka ruka
 
Back
Top Bottom