Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi đź’”

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi đź’”

Brothers, usije katu ukategemea mali ya mwanamke, mapenzi yakiisha utasimangwa na kama hauna kifua unaua.

Demu kajichanga kanunua ardhi kisha anakukosoa eti wewe mume, umenunua ardhi mbali na mji, yeye mke, ardhi yake ipo mjini, anakushawishi mjenge kwenye eneo lake lenye hati jina lake, umekwisha mapenzi yakiisha.

Sauti ya kiume ipo wapi sasa? Kama baba wa familia, unanunua eneo kwa ajili ya kujenga nyumba ya familia, mke anakukatalia eti kule mbali, na wewe unakubali? Mtaua sana watoto wa watu. Pumbavu zenu wanaume mnao tawaliwa na wanawake.
Sisi kina Kweka tunasema kile kuwanha ni cha ndugu yetu
 
Brothers, usije katu ukategemea mali ya mwanamke, mapenzi yakiisha utasimangwa na kama hauna kifua unaua.

Demu kajichanga kanunua ardhi kisha anakukosoa eti wewe mume, umenunua ardhi mbali na mji, yeye mke, ardhi yake ipo mjini, anakushawishi mjenge kwenye eneo lake lenye hati jina lake, umekwisha mapenzi yakiisha.

Sauti ya kiume ipo wapi sasa? Kama baba wa familia, unanunua eneo kwa ajili ya kujenga nyumba ya familia, mke anakukatalia eti kule mbali, na wewe unakubali? Mtaua sana watoto wa watu. Pumbavu zenu wanaume mnao tawaliwa na wanawake.
Mapenzi upofu.
 
Labda leo niwape mkasa mmoja wa mwanafamilia mmoja huko kwetu. Huyu ni babu yangu, yaani ni mjomba wa baba yangu.

Huyu Mzee (Apumzike Salama) alikuwa ni mtumishi wa serikali tatu alipomaliza darasa la 12 (nakumbuka alikuwa akipenda kunitajia kiwango cha elimu yake akimaanisha elimu ya Form Four). Na akiwa kazini alifanikiwa kukutana bintinwa kichaga wa maeneo ya Mengwe pale Rombo. Mzee huyu ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani. Hapa kuna mchanganyiko wa tamaduni mbili tofauti.

Walifanikiwa kupata watoto watatu na wote ni wakiume. Huyu babu yangu alikuwa Muslamu kwa dini yake na mkewe ni Mkristo wa Roman Catholic. Na wale watoto watatu walikuwa na majina ya Kiislamu ila wakaja kupewa majina ya kikristo na kubatizwa ili wawe wanaenda kanisani. Kifupi mwanamake alikuwa na nguvu ma ushawishi kwenye familia.

Nakumbuka wakati nasoma elimu ya upili hulo Kusini mwa Tanzania, pale nyumbami kwao Kigogo, Dar es Salaam palikuwa ni kambi yangu kwa ajili ya kwenda tuition za Mchikichini kwa sababu nyumbani kwetu ni mbali na Dar es Salaam.

Sasa ukifika pale, swali la kwanza utaulizwa unakaa siku ngapi. Pili yule mama atakupa masharti ya kuishi pale ndani. Na wakati huo kuna vijana wengine walikuwa wanakuja likizo kutokea Moshi na hawakuwa wakipewa masharti kama sisi WACHEZA VIGODORO. Na kama yule Mzee akikupa posho ya kupanda dala dala, ni lazima mama atakuuliza ulipewa kiasi gani. Na kuna muda alutaka posho ile ipitie kwake. Yule Mzee alikuwa anampatia posho ya kunipa mimi na baadaye angeniita chemba ili aniongeze yeye maana mkewe alikuwa anapunguza ile posho ya kunipa mimi.

Vikwazo hivi havikuwapo kwa wale wageni wa kutoka Moshi. Siku za mwisho wa wiki hawa vijana wangelala hadi muda wanaoutaka na wasiulizwe na mtu yeyote, ila sisi tulitakiwa kuamka asubuhi sana na kwenda mto Msimbazi kukata majani kwa ajilinya mbuzi, kurudi kufanyanusafi wa ndani, na mwishowe atawapa nguo za vijana wake watatu ili zifuliwe. Na baada ya hapo utapewa chai ya rangi ukae pembeni unywe ili yeye, watoto na nduguze wakae sebuleni wakinywa maziwa. Hatukuruhusiwa kutumia sebule tuliyoisafisha muda mfupi uliopita.

Yaani tukiwa tunaenda pale, anamwambia mdada wa kazi kutoka kwao apumzike kwa maana sisi tulikuwa tumefika. Na kweli ugali maharage utakaokula pale ni lazima uulipie muda so mrefu.

Ubaguzi huu haukuwa kwetu tu, ulimfikia hadi Mama mzaa mumewe. Yaani pale unaaweza kukuta Mama wa mwanamke na Mwanaume wamekutana kwa pamoja nyumbani kwa watoto wao ila kunakuwa na treatments mbili tofauti kwa wazazi hawa. Na ilifikia siku hadi Mama wa Mwanaume alichezea makofi mpaka akavunjwa mkono. Hii ilisababisha ndugu wengine wa Mwanaume wasuse kuwa wanakwenda pale. Kifupi jamaa alitengwa na familia yake.

Mbaya zaidi aliwakataza wale watoto wasiwe wanaenda kwa ndugu zao kule Pwani. Likizo walikuwa wanaenda Moshi na akwa anawaambia huku ndiyo kwenu.

Basi yule Mzee akawa anaishi kwa kutengwa na mwisho alistaafu. Baada ya muda akapata shida ya kupooza mwili. Nilisikia kuna muda alitengwa kwenye chumbanchabuani akijisaidia humo humo ndani. Ndipo siku moja nikapanga safari kutoka mkoani ninapofanya kazinna kwenda kumuona MSELA wangu. Nilimkuta na hali mbaya sana. Kwa maneno yake mwenyewe alikuwa akilalamika na akilia kuwa mkewe na watoto wake walikuwa wakimtembezea kichapo wakati akiwa na hali ile ya kupooza mwili. Kiukweli nilitokwa na machozi. Nilikaa pale na nikamtoa pale uani ili jifanye usafi kwenye chumba alichokuwa akiishi. Kilikuwa kichafu sana. Mzee alifarijika sana kwa mimi kwenda kumuona. Nilipomuaga jioni kuwa naenda zĂ ngu, alilia sana na akaniambia nirudi tena kumuangalia.

Ilifikia muda waliamua kumuhamisha kutoka Dar es Salaam na kumpeleka Kibaha - Misugusugu ambapo walikuwa na shamba maeneo hayo na mifugo. Mke na watoto waliendelea kuishi Dar es Salaam na kumuacha kule akiangaliwa na mfanyakazi wa kike.

Mwaka wa juzi yule Mzee alifariki akiwa na mfanyakazi tu pale shambani. Watoto wote walikuwa makazini kwao Dar es Salaam na wengine Dodoma.

Sasa ikafikia muda wa mazishi, yule mama wa kichaga akawa anataka ndugu wa marehemu wawepo kwenye msiba, ila ndugu wengi walikataa kwenda. Mimi nilisafiri kutoka mkoani na kwenda Kibaha kumsindikiza MSELA wangu. Nakumbuka alinivusha pakubwa sana wakati wa kutafuta elimu alikuwa na msaada mkubwa sana.

Yule Mama aligoma mumewe asizikwe kwenye shamba lao walilotafuta pamoja, alizikwa kwenye makaburi ya Waislamu.

Wakati wa uhai wake, Mzee alifanikiwa kuwekeza kwenye mashamba na nyumba zilizopo Morogoro, Tanga na Pwani. Hakuna mtu anaweza kujua nini kiliendelea baada ya kifo chake.

Hapa tupate dunzo kidogo. Wazee wetu walikuwa na maana kubwa sana kutufundisha kuoana na mke au mume mnayefanana tamaduni. Hii michezonya kuokotana na kuanza maisha bila ya kujuana, mwisho wake huwa ni mbaya sana.

Na huu ndiyo ukawa mwishonwa MSELA wangu. (R.I.P)
Doh, msela kafa mpweke Sana
Hao watoto hakubahatika mtoto wa kike? Maana wanazdmaga mtoto wa kike ni wa baba
 
Hao wakiume vitawarudia Tu yaani hao ni swala la muda

Ndio maana wanazdmaga wewe kijana wakiume kuwa na bint ni asset

Mimi binafsi nipo radhi nipambane kivyovyote for the sake of my dad, yaani msela wako angalau angekuwa na bint wakike
Sijaelewa kabisa kwa hio mtoto wa kike ni asset na wa kiume ni galasa sio?

Acha ubaguzi wa kijinsia basi nilimsikia mmoja anasema yeye hasaidii mtoto wa kiume ila yupo tayari kumsaidia mtoto wa kike nikaishiwa pumzi hii maana yake nini kwamba anaestahiri zaidi kusaidiwa ni mtoto wa kike sio wa kiume, usichokijua ni kwamba mimi nna sister wangu mmoja yeye alikua kila akiingia leba anarudi na mtoto wa kike siku alipoingia leba na kurudi na mtoto wa kiume nilifurahi sana, do you know why?

Ufalme wowote kwenye Kingdom yoyote sio Mwanamke ni Mwanaume ndio maana ukiangalia hata Wahindi mfano mdogo tu MO ana watoto mtoto wake wa kwanza ni wa kike wa pili ni wa kiume ambae ni Abbas anaewekwa front ni Abbas sio vingine, MO ni mtoto wa pili kwa Baba yake na ana dada yake ambae ni mtoto wa kwanza ila MO ndio kapewa kijiti aisimamie kampuni sio dada yake, do you know why? Mtoto wa kiume ni asset mara 500 ndio maana Baba yake na Dangote anajisikia faraja kua na mtoto wa kiume mwenye makampuni kila kona ya Dunia, na Dangote alipoulizwa kuhusu mtoto wa kiume alijibu juu juu tu ila ndani kwa ndani ni kitu ambacho kinamtafuna kwanini mimi Mungu kanipa kila kitu ila kaninyima mtoto wa kiume?
 
Twende taratibu
Naomba nikupe homework
Nenda kaulize wazee watu wazima kuwa Kati ya mtoto wake wakike na mtoto wake wakiume yupi ni msaada kwake

Hapa sizungumzii kusoma,kumiliki makampuni and the likes nazungumzia mtu wako wa karibu wakuwa nae nyakati ambazo hela haiwezi kukusaidia
 
Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
means alitaka Mumewe aondoke abaki yeye kama muangalizi na watoto si ndio
 
Hiyo ndoa ilikua ishakufa.
Jina la kweka lingekuwepo kwenye hati ingekua sio sahihi, vipi akioa na kupata watoto wengine?

Jane alikua analinda urithi wa watoto wake.!
Sasa si ange mshawishi mume, mnaruka ruka sana, msikilize dada yake Jane ndio uongeze, mana hamna tunacho kijua kuliko dadamtu
 
Kama yeye alikuwa mmiliki wa kiwanja, na akajenga Kweka, huoni kuwa ingekuwa jambo la busara angemshirikisha Kweka katika ku process hati ya umiliki? Na kama Kweka anaumwa saratani, ni ingekuwa busara zaidi kumshirikisha yeye kwani at the end of the day, ataaga dunia na kumwachia nyumba, other factors constant.
Ukimsikiliza dada yake Jane wa tumbo Moja kaongea kwa busara sana lawama zimedondokea kwa Jane kumbe kesi sio ya leo ni ya muda na alishauriwa na alikua kinacho enda kitokea
 
Sasa mahi, kwanini Huyo Jane asingeacha utambulisho usome wa kweka, hadi mtoto akifikisha umri wa 18yrs ndipo wafanye taratibu za kubadilisha? Tatizo lilikua nini yaani?
Alafu baada ya kujua mume ana umwa kansa ndio mambo yakakimbizwa chap, hata kujali afya ya mume mhh
 
Mnazunguka zunguka tu lakini ukweli ni kwamba marehemu alikuwaeTAPELI kama MATAPELI wengine....alitaka kumzunguka KWEKA.....
View attachment 3687062
Mambo mengine bwana unasema mume kajenga kwa gharama zake kwanini usimshirikishe? Na kama hataki we so msomi na una akili za maisha umri una ruhusu Kwa nini usi mkalishe chini mhawane mbao Kila mtu kwake we unataka vyote
 
Back
Top Bottom