Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao mkubwa aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane 💔

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Yaani uliyoyaeleza yanadhihirisha ubaya wa huyo Jane wako.Kwanini alikubali Kweka ajenge kwenye kiwanja chake? Ili baadaye aje amgeuke.Kwanini hakusubiri wakubaliane ndiyo afuatilie hati? Hilo jukumu la kuwa msimamizi wa watoto alipewa na nani ,nankwa makubaliano Gani? Kwanini alikuwa tayari kuachana na baba watoto wake walioishi naye miaka 18 + as you said? Kwanini akiondoka kwa mumewe kwenda kukaa kwa ndugu zake na hakuna divorce declaration?
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao mkubwa aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane 💔

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Jane ni mpalestina na wewe ni mpalestina. Mwamba ngoma huvutia kwake
 
Kwamba ww ndo unaujua ukweli ila wengine wote wanaosema tofauti na ww ni waongo?
 
Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Jina la mme likowapi? Yaani mke ndio msimamizi wakati mme hajafa? Kuna wanawake wana tamaa Sanaa. Kuna makabira yana tamaa sana.
 
Kwamba ww ndo unaujua ukweli ila wengine wote wanaosema tofauti na ww ni waongo?
Kwani hawajakwambia mimi ndiyo Jane nimefufuka 😂

Staring Call Of Duty GIF.gif

Jokes aside:
Mimi nimesikiliza wasifu, taarifa ya kwanza millard ayo na mahojiano ya familia.
Nimeweka sources zangu zote kwenye uzi maana naona mitandaoni kila mtu anajitungia story yake.
 
Yaani uliyoyaeleza yanadhihirisha ubaya wa huyo Jane wako. Kwanini alikubali Kweka ajenge kwenye kiwanja chake? Ili baadaye aje amgeuke.
Alimkubalia mumewe alivyotaka, alitii 😎
Kwanini hakusubiri wakubaliane ndiyo afuatilie hati? Hilo jukumu la kuwa msimamizi wa watoto alipewa na nani ,nankwa makubaliano Gani?
Siwezi kujua, ila inaonekana tayari kulikuwa na mgogoro
Kwanini alikuwa tayari kuachana na baba watoto wake walioishi naye miaka 18 + as you said?
Sijui kwanini, ila najua ndoa zinaweza kufikia ukomo na ndiyo maana kuna taratibu za kisheria za talaka.
Kwanini akiondoka kwa mumewe kwenda kukaa kwa ndugu zake na hakuna divorce declaration?
Kwa sababu mumewe tayari alishamtishia kumuua na akaenda kuripoti polisi.
Mbali na kuhofia maisha yake, nahisi aliondoka ili kuepusha shari na kutoongeza ukubwa wa tatizo.
 
Wanaojua uhalisia ni Kweka na Jane wengine tunaungaunga tu story kama mtoa mada kaamua kuonesha Jane hakua na makosa ngoja aje mwingine aoneshe Kweka alikua mwema.
Mimi sijasema hakuwa na makosa, nimeelezea yale yaliyothibishwa na kusomwa kwenye wasifu pamoja na mahojiano na ndugu wa marehemu (nimeweka vyanzo vyangu vya taarifa pia). Mengine ya ndani siyajui.
 
Sababu pekee tuliyokubaliana (mimi na mke wangu wa ndoa) kuuana ni kufumaniana( tukingonoka) kwenye nyumba zetu tunazoishi kama mume na mke (Dom,Arusha,Kilimanjaro,Dar na Mtwara).

Sababu pekee ninayoona inafaa kuhalalisha kuua ni hiyo ya kumfumania mume/mke akingonoka kwenye nyumba yenu.

Nnje ya hapo ni ujinga, upumbavu, uzwazwa na mihemko ya tatizo la afya ya akili.

Kumbukumbu la Torati 22:22- 27.
Yohana 8:3-11.
 
Mimi sijasema hakuwa na makosa, nimeelezea yale yaliyothibishwa na kusomwa kwenye wasifu pamoja na mahojiano na ndugu wa marehemu (nimeweka vyanzo vyangu vya taarifa pia). Mengine ya ndani siyajui.
Hapo wenye msibani kwa sehemu kubwa ni ndugu wa Jane kwa vyovyote watatengenezea wasifu/historia ambao utafanya ionekane ndugu yao kaonewa.

Mara nyingi kwenye misiba yetu ya kiTz wanajitahidi kumpamba marehemu na baadhi ya taarifa either huondolewa au kubadilishwa kwa namna fulani.

Kuchota taarifa za upande moja na kuziwasilisha kama zilivyo na kumuhukumu Kweka bado siyo sahihi.
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.

View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao mkubwa aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.

Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane 💔

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Kiwanja kilikua cha Jane. Je nani aligharamia ujenzi. Je ni Jeni, kweka au wote?
 
Hapo wenye msibani kwa sehemu kubwa ni ndugu wa Jane kwa vyovyote watatengenezea wasifu/historia ambao utafanya ionekane ndugu yao kaonewa.

Mara nyingi kwenye misiba yetu ya kiTz wanajitahidi kumpamba marehemu na baadhi ya taarifa either huondolewa au kubadilishwa kwa namna fulani.

Kuchota taarifa za upande moja na kuziwasilisha kama zilivyo na kumuhukumu Kweka bado siyo sahihi.
Kwani taarifa gani hapo imewasilishwa inayompamba Jane?

Kuna hoja nyingi humu zimeletwa kuhusu maamuzi ya mke kutengeneza hati kwa majina ya watoto.
Kibinadamu hata mimi naelewa kwanini Kweka alikwazika, ila si sababu ya kuua.
 
Back
Top Bottom