Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Kweka ndiye aliyejenga hiyo nyumba baada ya kushawishiwa na mke ajenge hapo, baada ya mke kuchoka akawa anadai talaka na kutaka kuuza nyumba,kweka alitaka nyumba iuzwe wajenge kwenye kiwanja alichonunua
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Sheria ya ndoa, The Law of Marriage Act, 1971, Chapter 29 (Sheria ya Ndoa). Sheria hii inahusu ndoa, haki na wajibu wa mume na mke, mali za ndoa, kutengana, talaka, na mambo mengine ya kifamilia. Toleo lililorekebishwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu lipo kama Cap. 29 R.E. 2023.
KOSA LIKO HAPA
Kisheria Mali za wanandoa si za watoto. Rudia tena kusoma
(Swali: kwa nini marehemu afanya maamuzi ya kubadilisha hati kwa majina ya watoto bila mume/baba yao kujua?.Je unahuhakika kweka ni baba wa hao watoto?)

NINI KIFANYIKE
Kuolewa sio lazima kisheria na kibiblia,tafuta mali hukiwa pekeyako ili ziwe za peke yako. Na hii ndio salama zaidi. Stay single, stay safe.


 
Utangulizi tu unaonyesha chuki dhidi ya mwanaume na kuegemea upande.

Aya ya 5, 6, 7 na 8 zina ukinzani makubwa zenyewe kwa zenyewe.

Hata kama wewe ni ndugu wa marehemu chuki haijengi
 
#FACT-CHECKING

Usidanganyike, mambo kwa ground yapo tofauti sana. Kwa ushahidi, tupitie ni yapi ya kweli na yapi si kweli kuhusu kifo cha Jane Maloo Urassa ⚰️ aliyeuawa na Laurence Kweka, mwanaume aliyekosa akili, busara na utashi wa kibinadamu.


View attachment 3686843

  1. Jane na Bw. Kweka waliishi kwenye ndoa kwa miaka 18 na miezi 8 na wana watoto 4 - KWELI

  2. Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI

  3. Jane alimiliki mali binafsi alizotafuta kabla ya ndoa ikiwemo kiwanja kilichojengwa nyumba iliyoleta mgogoro - KWELI

  4. Jane alikua ameshaondoka hapo nyumbani kwenye migogoro kwa zaidi ya miezi miwili na kwenda kuishi kwa ndugu zake na alimuachia bwana Kweka nyumba na pamoja na watoto wote aishi nao - KWELI

  5. Mgogoro mkubwa ulijitokeza miezi kadhaa nyuma baada ya hati ya nyumba kutoka na majina ya watoto na Jane kama msimamizi mpaka pale mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18 - KWELI

  6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI

  7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI

  8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI

    PS:
    Mtoto wao mkubwa aliyempigia simu mama yake ataishi kwa uchungu maisha yake yote, akijua bila ya simu yake, mama yao angekua hai leo.

    View attachment 3686846

  9. Kabla ya mauaji, tayari kulikua na kesi polisi na ustawi wa jamii dhidi ya bwana Kweka kuhusu ukatili wa kijinsia na kumtishia mkewe maisha - KWELI

Vyanzo vya taarifa / Sources: (Ukija kubisha na wewe ulete vyanzao vyako)

Tofauti na mambo yanayoendelea mtandaoni na watu wanavyoleta mizaha kuhusu ukatili wa kijinsia na mauaji, Jane Urassa aliuawa kwa sababu alikua tayari kuachana na mume wake na kuhakikisha mali zao walizochuma pamoja zinabaki kwa watoto wao.

Alifanya vile ambavyo wanaume wanashauri humu jukwaani kwamba, using’ang’anie mali ambayo si yako, akampisha mwanaume kwenye nyumba yao, akaacha watoto bila kuwang'ang'ania na bado akauawa kikatili.


Hitimisho:

Jane alifikia mwisho kwenye maisha ya ndoa ila Mr. Kweka hakuwa tayari kuona mwisho wa ndoa yao pekee, alitaka pia kuhakikisha ni mwisho wa maisha yake pia - kusudi lake limetimia.

R.IP Jane 💔

Tupinge Femicide / mauaji ya wanawake

Alamsiki!
Pole sana kwa wafiwa. Hakuna chochote kinachoweza kujustfy mauaji. Nilimsikiliza kwa makini dada wa Jane Bella urasa, alisema Jane alikopa, maafsa walipokuja kudai marejesho mume alikasirika sababu hakuwa na taarifa na ilibidi ile case iende police..nikahisi ni mambo ya fogery na baadae mume bwana kweka alimwambia kaka yake Jane kwamba Jane asirudi nyumbani kwa kweka hivyo Jane akawa anaishi kwa kaka yake, kama kweka hana chake pale alipataje nguvu ya kumfukuza jane?.. pia Jane alimwambia dada yake kuwa hati imetoka ina majina ya wanae yeye ni msimamizi hivyo anaogopa ,mumewe akijua atamuua, nikahis ni sababu anajua kuna jasho la mume wake pale..na alisema mume alitaka hati itoke na jina la Mr and Mrs Kweka...huoni kuna sintofahamu? Hata kama kiwanja ni cha Jane na mume aliwekesha jasho na nguvu zake kujenga hiyo ni mali yao...
Kuna tukio moja mume alijenga gorofa alipoachana na mke alienda kuvunja gorofa
 
WANAWAKE wa kichaga na ni makatili sana HASA warombo na machame... Wachawi, roho mbaya ...wabinafsi. niliwahi kumiliki kinguchiro cha kirombo maniner zake... Miaka hiyo nasoma pale ushirika. Kidem hakijakwapua vijisalia vya boom langu!, nilikipga futi za maana toka hapo nikakiambia wewe Paula kimario sepa. From there sitaki kusikia mwanamke kutoka kaskazini!.
😂😂😂
 
Hoja inajibiwa na hoja jirani, lete facts zako hapa tuzisikilize!
Hoja za kukujibu zipo katika hiyo clip! Mwanaume alijenga nyumba na Jane Lakota kujenga fensi. Akashindwa marejesho akalala Polisi. Mume alitaka hati iwe mr&mrs lakini yeye kaweka jina lake na watoto wote akamuacha nje mwanaume. Binti wa zamani huisha andiko lako liakisi ukweli
 
Jane pumzika kwa amani

Huyo kweka simjui lakini namuombea apate mwanasheria mzuri atakayeweza kumtoa arudi kulea watoto.

Kuishi na mtu jamani ni kazi kubwa sana! kuna muda tunajifanya wajinga yaani unafanya 2+2=22 ili mradi mambo yaende tu!!!!!!!

Na sisi tulio baki tuhakikishe tunaishi maisha ya upendo, amani , furaha na masikilizano na ikitokea tumeshindwa kuendelea kuishi pamoja.
Tujifunze kuachana kwa amani.
 
Unaanzaje kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke? Kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana yake ni kumjengea yeye. sasa kama ulishaamua kujenga nongwa za nini?
Jamaa ni Pumbav sana
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Kwanini Jane alimilikisha nyumba watoto na yeye kuwa msimamizi bila kumjulisha mumewe! Sheria ya mirathi inasemaje kuhusu mali inayopatikana ndani ya ndoa hapa inahusu nyumba. Kiwanja ni cha Jane lakini alimtumia mume wake awekeze kisha amtose kwa kisingizio cha kiwanja ni chake, huu ni mchezo wa wachaga.
 
Kweka ndiye aliyejenga hiyo nyumba baada ya kushawishiwa na mke ajenge hapo, baada ya mke kuchoka akawa anadai talaka na kutaka kuuza nyumba,kweka alitaka nyumba iuzwe wajenge kwenye kiwanja alichonunua
Sasa kama tayari alikua anadai talaka, wangejengaje tena pamoja kwenye kiwanja chake?
 
Back
Top Bottom