Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa na ameolewa 2008 ni kitambo kidogo so naelewa unachosema kuhusu thamani.

Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?

Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpoka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).

Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
Sasa mahi, kwanini Huyo Jane asingeacha utambulisho usome wa kweka, hadi mtoto akifikisha umri wa 18yrs ndipo wafanye taratibu za kubadilisha? Tatizo lilikua nini yaani?
 
Nimeshasikia mengi sana kuhusiana na mkasa huu, ila ki ukwel inaonekana marehem alikuwa mbinafsi sana, hakutaka nyumba iwe ya familia (baba, mama na watoto) ila alitaka iwe yake yeye na watoto pekee!

Inakuwaje mpo katka ndoa halaf baba ambae ni kichwa cha familia anatengwa katka umiliki, et kisa mwanamke ndo kanunua kiwanja na kujenga, mbona sis wanaume unapokua na mali zinahesabika ni mali za familia (na mke akiwemo)!?

Ila kuna wanaume wananyanyasika sana katka ndoa zao, sema machoz na maumiv yao hakuna anayeyajali!
Selfishness and possession turns people into merciless bloodshed
 
Mashambulizi ni makali sana kutoka kila upande.

Makombora ya lawama na utetezi yanarushwa kutoka kila upande.

Mtanange umekuwa wa moto sana huu.

Kila upande, unakabia kwa juu.

Hakuna anayekubali makosa ya upande wake.
 
Mara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la

Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
Yeah .. kwenye hii hoja yako ,kumtetea bwana kweka ni ngumu asee.. jamaa inaonekana since day one alishoboka na weupe wa mama mjengo wake .. ona sasa
 
Mashambulizi ni makali sana kutoka kila upande.

Makombora ya lawama na utetezi yanarushwa kutoka kila upande.

Mtanange umekuwa wa moto sana huu.

Kila upande, unakabia kwa juu.

Hakuna anayekubali makosa ya upande wake.
Kwamba upande wa aliyeua nao unatetewa?
 
Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa
Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?

Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpoka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).

Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
Nadhani nilipo-bold umeelewa nilichokiandika,kama wanandoa mmekubaliana mke umenunua kiwanja then katikati ya safari mume akapata cent akaweka wazo mezani nataka ninunue kiwanja nijenge wewe mwenye miguu yako 25x25 Bunju uliyonunua chini ya 2mill ukamwambia usihangaike kuna kile kiwanja changu pale na sisi ni mwili mmoja jenga nyumba yetu ya familia......

Mumeo akajenga jumba la 100+ leo uone hana akili ukamwandikishe mwanao aged 15 chini ya usimamizi wako umemuona yeye aliyewekeza hela,akili,maarifa hana akili ya kuisimamia hiyo nyumba hadi uje kuisimamia wewe na mwanao wa miaka 15?hivi mna akili sawasawa kweli ninyi kinamama?
 
Tufanye yote ni sahihi kuwa Jane ana tamaa na mlafi wa mali

Ila kama mwanaume si hitimisho kumuua mwanamke

Kivipi aani tunashangilia mauaji alichokifanya kweka kuna utofauti gani na walichokifanya ccm kuua wananchi kwaajili ya kujilindia mali

Uwanaume haupimwi kwa misuli tu pia kudhibiti hisia zako demu,mke hata malaya akizingua piga chini tafuta njia ya kujilinda wewe na mali zako ila sio kumuuaaa
📍📍📌📌📌📌
 
Back
Top Bottom