Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Rejao ana stress... muache atulie la sivyo anaweza kujiuawaiting.... rejao ajinyonge
Last edited by a moderator:
Rejao ana stress... muache atulie la sivyo anaweza kujiuawaiting.... rejao ajinyonge
Nicas Mtei....mambo bado yamenyooka. Hamna kilichoharibika. Ni mvua za rasha rasha tu hizo!!hahahahaha Papaa Rejao jahazi lako linakaribia kuzama... jinsi mnavyopoteza na penzi ndo linapotea
Preta mbona umeadimika? hupatikani hewanibaby unataka kukutana nao wa nini....wasije wakakukuchukua.....nina wasiwasi.....
Appointment yetu ya kesho hivi ni saa ngapi?waiting.... rejao ajinyonge
Nicas Mtei....mambo bado yamenyooka. Hamna kilichoharibika. Ni mvua za rasha rasha tu hizo!!
Subiri uone mwenyewe, kila kitu kinafanyika kwa mipango. Kumbuka sisi tuna dolaendelea kujipa moyo tu.... utakufa kijerumani na tai shingoni.... si unakumbuka jinsi ule upepo ulivyofumua baraza?
jioni dearAppointment yetu ya kesho hivi ni saa ngapi?
Kiepe!!!!,
Hebu acha usister du,angalia humo kwenye friji kuna viporo kibao mpaka cha ugali pasha ule achana na viepe sio vizuri kwa afya ebo!
Nicas Mtei....mambo bado yamenyooka. Hamna kilichoharibika. Ni mvua za rasha rasha tu hizo!!
Eti eeh Rejao ni upepo tu, kama ule wa mjengoni nini ?
punguza hasira darling
hivi kwa nini kuna watu likifika swala la kukutana wanakuaga wakali sana..??!!
Hawajiamini hao!