Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Duuh kaazi kwelikweli, usidhani ukimuona atakuwa na swaga kama za humu ndani..,
Duuh kaazi kwelikweli, usidhani ukimuona atakuwa na swaga kama za humu ndani..,
Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?
mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza akanitaja yeye...
sitaki mazoea.....
doh....tena??kama hivyo sawa.....bila faida ya nini shida.....
hivi kwa nini kuna watu likifika swala la kukutana wanakuaga wakali sana..??!!
Klorokwini.
Huyu alikimbia na mauzo ya famasi yetu. Nataka mgao wangu.
Hivi Amyner bado yupo? Badili Tabia kashabadilika? Mwali kashavunja ungo? Kongosho bado ana asali yangu?
Hivi leo jumangapi?
namdai...