sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
- Thread starter
- #101
............mhh!!!:A S 39:kila mmoja mara moja kwa nyakati tofauti
............mhh!!!:A S 39:kila mmoja mara moja kwa nyakati tofauti
usemacho sikatai, hata mimi wapo nnaokutana nao mara kwa mara ila kuna memba wachache humu ndani JF hawataki kabisa kusikia hii kiyu,,,kwa nini!!??
.....tehe tehe...tunarudi kule kule...!! haya bana...Inategemea "unaishije" hapa JF. Unaweza kukuta unaomba kukutana na mwajiri wako ilhali kila siku mnazodoana hapa jamvini. Hii ndio sababu kuu. Lakini pili, wengi JF wanatoa taarifa za uongo sana, hasa jukwaa hili, sasa mkikutana halafu ukakuta picha tofauti na mtu anavyo-behave nadhani utakuwa disappointed sana. Usipende sana kukutana na wana-JF 'live'
Khaaaaaaaa!We endelea tu kujitia umajinuni, ugomvi tunao, tena mkubwa sana? huyo Rejao ni nani, sounds like a police constable...
Nani huyo ? Hebu mtaje fasta!
Siwezi vumilia manung'uniko ya Wife , nayafumbia mboni.
Kisha toa option nimshughulikie ki'afandeKova nimlaze ndumwa kama mwezi mmoja hivi, au nikamkalie kikamatijadi nimteremshe mshipa kabla hapajapambazuka
Pamoko shem wangu,Ahsante Cantalisia.
Nimebadili jina tu. Ni ileile
Khaaaaaaaa!
Yani mme wangu, papa Rejao unamfananisha na afande!!!
Kiukweli wala sina ugomvi nawe km upo basi unaujua mwenyewe labda unifahamishe!!
Usijali bro wangu,karibu sana kwetu uje na Preta kwan nami nataman kumuona,isitoshe utamuona na shemeji yako Rejao.natamani kukutana na dada yangu. CANtalisa..tukae mahali na kunywa Capachino cofee
Hahaha ahhaha ahhah,Sijamfananisha wala nini, thats how the name sounds, mfamo ukisikia Mphamvu, ni rahisi kuhisi ni ofisa wa ubalozi wa RSA, hakuna maajabu hapo.
Kuhusu ugonvi wetu, unataka mpaka niuanzishie thread ndo ujue kama upo?
Unanirusha roho...Hahaha ahhaha ahhah,
Swaiba mbona hilo jina lako mie naona linasound km sangoma flan.....!
Yaani ugomvi uuanzishie sred!!!!!
Anzisha bana mie wala huntish atiii!
Mie najua hakuna ugomvi wala nn!
Pamoko shem wangu,
Sasa nitakuita NM.
Senkyu my wife!! Kwa hili jibu nina uhakika hawezi tena kuendeleza ligi.Hahaha ahhaha ahhah,
Swaiba mbona hilo jina lako mie naona linasound km sangoma flan.....!
Yaani ugomvi uuanzishie sred!!!!!
Anzisha bana mie wala huntish atiii!
Mie najua hakuna ugomvi wala nn!
ukitaka kukutana na mimi uniambie tu upo wapi mi nitakuja.
Senkyu my wife!! Kwa hili jibu nina uhakika hawezi tena kuendeleza ligi.
BTW, nakumiss sana! Hapa kamvua kanahamasisha sana! Natamani nikufuate twende zetu nyumbani!!
Missing u too darling.Senkyu my wife!! Kwa hili jibu nina uhakika hawezi tena kuendeleza ligi.
BTW, nakumiss sana! Hapa kamvua kanahamasisha sana! Natamani nikufuate twende zetu nyumbani!!
Usijali bro wangu,karibu sana kwetu uje na Preta kwan nami nataman kumuona,isitoshe utamuona na shemeji yako Rejao.
Senkyu my wife!! Kwa hili jibu nina uhakika hawezi tena kuendeleza ligi.
BTW, nakumiss sana! Hapa kamvua kanahamasisha sana! Natamani nikufuate twende zetu nyumbani!!
Missing u too darling.
Come this way my love nikupe cha mchana!
Unanirusha roho...
Mi siwezi kuanzisha thread, kwa kuwa ugomvi wenyewe muda si mrefu utabadilika na kuwa mahaba mazito. No need...