sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
- Thread starter
- #181
...mmh..:behindsofa:wewe kama unajiamini kutana na mimi!
...mmh..:behindsofa:wewe kama unajiamini kutana na mimi!
Ningependa nikutane na mkwe wangu NICAS MTEI na bi AshaDii
Usijali mkwe. 2taonana tu. Karibu
Nakupenda mkwe.
wewe kama unajiamini kutana na mimi!
unajua mkuu umuhimu wa kuonana/kutokuonana unategemea na maamuzi binafsi...kama huna nia ya kutaka kuonana na mtu yoyote hata ikitokea umeonana nae haitakuwa na impact kwako..na ndo maana hapa nikasema kama umepewa nafasi ya kukutanishwa na mwana JF ambaye pengine tangu kuingia kwako JF unadhani ni mtu flani hivi kwa jinsi anavyocoment au thread zake na unahisi kutamani japo kumuona tu kwa uhalisia jinsi alivyo..au hata kuongea nae mawili matatu kutokana na misimamo yake humu JF....vitu vya namna hiyo yaani!! si kwamba ni lazima BALI NI KAMA ungekuwa unatamani kumuona mwana JF kwa namna hii ungependa awe ni nani!!sasa kwani kuna umuhimu gani ukikutana na huyo mtu na nini aatakuongezea mkionana live mm sioni cha maana hapo sijui nini
Niambie nikukute wapi,am a woman of confidence wewe!au nikukute mnara wa mwenge?tukae pale kwny yale majani kama maharusi!
Ndiyo sikutaki
Mkikutana nambieni nije

unajua mkuu umuhimu wa kuonana/kutokuonana unategemea na maamuzi binafsi...kama huna nia ya kutaka kuonana na mtu yoyote hata ikitokea umeonana nae haitakuwa na impact kwako..na ndo maana hapa nikasema kama umepewa nafasi ya kukutanishwa na mwana jf ambaye pengine tangu kuingia kwako jf unadhani ni mtu flani hivi kwa jinsi anavyocoment au thread zake na unahisi kutamani japo kumuona tu kwa uhalisia jinsi alivyo..au hata kuongea nae mawili matatu kutokana na misimamo yake humu jf....vitu vya namna hiyo yaani!! Si kwamba ni lazima bali ni kama ungekuwa unatamani kumuona mwana jf kwa namna hii ungependa awe ni nani!!
Mkikutana nambieni nije
Kama ningetaka kukutana na mwanajf yeyote ambaye sijawahi kukutana naye, mm ningependa awe kama jacob zuma au waziri mkuu wetu akifanana vilevile sijui wewe uko kama hao niliowataja hapo View attachment 84291View attachment 84292
jamani mkaka yamekuwa hayo tena kulikoni jamani msamehe bhana na mtake pia sio mkwe pekee tu unafanya upendeleo usibague watu sote ni ndugu kaaa!