Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ndoa changa utazijua tu......., expiry date ikifika unadhani utakumbuka hata cha jioni?? Heheheheeee(hapa nimecheka kiumbea zaidi) lol

Hawa wana matatizo makubwa sana kwenye ndoa yao, ila ndo ivo wanajifanya kuyafunika. Mi nilishajitolea kuokoa moyo wa Baby Cantalisia, ila ubishi wake tu.
 
Last edited by a moderator:
Ndoa changa utazijua tu......., expiry date ikifika unadhani utakumbuka hata cha jioni?? Heheheheeee(hapa nimecheka kiumbea zaidi) lol
Heee heee heee,
Tuache kwa raha zetu na hatunaga expiry date ni raha kwa kwenda mbele bila mwisho!
 
Labda nawe ukachonge pua reeefu kama la Rejao tena ikibidi liwe refu zaidi ili umpiku kiurahisi!
Shilingi 5 kubwa tu inatosha!

Ah, huyu atakaa sawa mwenyewe, time will tell. Kuhusu pasa mantakhoff, inbox mimi nambari yako ya akaunti afu nirekebishe.
 
Mie nimeona tu hilo neno la kiny..... nikaijump kabisa sikutaka hata kujua kilichomo!! Btw, kuna mtu alikuwa anakuulizia mida mida tu.....bora umekuja mwaya Smile!!
mimi nimejitahidi kusoma yaani utazimia kacheki jinsi ya kutawaza jamaa amepinda huyo
hao wanaonitafuta wapotezee mimi sidate na vijana.....
 
Ah, huyu atakaa sawa mwenyewe, time will tell. Kuhusu pasa mantakhoff, inbox mimi nambari yako ya akaunti afu nirekebishe.

Huku kwetu kuna bank za aina nne tu ambazo ni tigo pesa, m-pesa, airtel money, na z-pesa! Nikutumie no. ipi....
 
mimi nimejitahidi kusoma yaani utazimia kacheki jinsi ya kutawaza jamaa amepinda huyo
hao wanaonitafuta wapotezee mimi sidate na vijana.....

Naona iko moved, sijui wameipeleka kule ambako funguo zake ni adimu? Hahahah haya bana, kwa hiyo we Smile wadate na kina wasira uuuh?? Lol
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu kuna bank za aina nne tu ambazo ni tigo pesa, m-pesa, airtel money, na z-pesa! Nikutumie no. ipi....

Sa tunafanyaje?
Mimi huku niliko kuna MTN na Vodacom SA, labda na Telkom ambao wanatoa huduma ya simu za mezani?
Would you like it fizikale?
 
Back
Top Bottom