Hivi kumbe Mamndenyi ni mkaka?
...hata mimi nimebaki mdomo wazi...:A S confused::A S confused:
hee nilikuwa sijui jamani kwani niliangalia avatar yako ndo mana nimeguess kuwa ni mkaka ohops! sorry best
Afu una mambo weye shostito..sasa yule si ni TB Joshua!!!!???
Nimeckia mkwe. Nitawaambia
Haya shosti nimekupata.mgoogle basi umjue..Krb kwangu nina kisinduzi uje ucheki taarifa basihuyo TB. JOSHUA kwani namjua shostito laiti ningekutana naye hata kwa luninga ningemfahamu zaidi kwani hiyo luninga yenyewe sina king'amuzi kwani tunaangalia mikanda ya muvi tu shosti sasa nitamjuaje mie best, niko kianalogia mie mwenzenu, leo yamenikuta ila nimemwomba msamaha sijui kama karidhika
hee nilikuwa sijui jamani kwani niliangalia avatar yako ndo mana nimeguess kuwa ni mkaka ohops! sorry best
ntashindwa nini...malizia sasa!!..kwanza sijamwingilia mtu....labda kama nimekuingilia wewe tu..!!umebaki mdomo wazi au umenuna unashangaza wewe hivi hiyo tabia yako ya kuingilia mambo ya watu itaisha lini maana unaingilia visivyokuihusu utashindwa wewe ona ulivyo😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep::flock::flock::flock::flock::flock::flock::flock::third::third:
umebaki mdomo wazi au umenuna unashangaza wewe hivi hiyo tabia yako ya kuingilia mambo ya watu itaisha lini maana unaingilia visivyokuihusu utashindwa wewe ona ulivyo😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep::flock::flock::flock::flock::flock::flock::flock::third::third:
Embu niPM niione hiyo komfo uliyonayo! Najua lazima uwahi kurudi Loitoktok! Lol..Niambie nikukute wapi,am a woman of confidence wewe!au nikukute mnara wa mwenge?tukae pale kwny yale majani kama maharusi!
You'll be the 1st to know!Mkikutana nambieni nije
Embu niPM niione hiyo komfo uliyonayo! Najua lazima uwahi kurudi Loitoktok! Lol..