hakuna anayetaka kuniona?
haleluyahh!
mimi hapa jaman
hakuna anayetaka kuniona?
karibu mpwapwa tuonane.
sijapaona. kaandika nini kwani?
Naşhukuru leo sijavaa mawani yangu.
we ni KE au ME?
Nlokutana nao na ninao wafahamu wanatosha.
ahahahahaaa jamni yani kiwatengu wewe ndio wakuniuliza hilo swali????
Ni zaidi ya masogange mwnyw atakucmulia alafu mkorogo kwangu sumu