Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

labda ulikutana na wa kwa mange kimambi, wa hapa wote ni real men, responsibe and loaded 🙂

hehehe!!! wa hapa ndo sio kabisaaa. bora nikamtafte muddy washngton wa kwa mange. labda yule aweza kuwa real man.
 
Madame B kudadadeki, nimekumiss hadi nimeku misplace.
Ntafurahi sana kuonana na mshana jr na Jerrymsigwa. ndyoko naomba urudi kundini, tusitupane bhana

Bujibuji nisipotaka kuonana nawe itakuwa kichekesho, na wanaJF woote ambao tumekutana kwenye post zetu hapa jamvini bila kumsahau Angel Nylon
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana kukutana na Karucee na mtu mmoja hivi....
 
Last edited by a moderator:
wakuu hakuna anae tamani kuonana na mimi?



mi natamani kuonana na babu asprin
 
Back
Top Bottom